Air Tanzania ups stake for East African skies

Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Eti kuchafua anga!!!kama itaweza kushika soko sawa tena ki biashara sio mambo ya kisiasa(sifa)tu huku ni hasara tu, ukichukua mapato ukitoa gharama za uendeshaji ina bakia hasara, itakuwa haina maana!!
Hizi bombadia A220 warefu tunapata shida seat kama za Tata
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Biashara ya ndege si mchezo. Ungengoja miaka mitano ipite kabla ya sherehe. Zilikuwepo Air Zambia, Air Zaire, Sudan Air.....na Airs chungu nzima.
 
Nailed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…