Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahuni wale hawakutoa hata chochote,Mlitakiwa mpatiwe malazi sehemu nzuri (ka pale malaika hoteli), chakula etc
Kama Ulaya vileKuna bus siku hizi zinawashinda hao,kwa hiyo usilinganishe na bus zote na hao,Kuna bus Kama ni saa 12 ,zinaamsha ata Kama yupo abiriaa mmoja ndani
Hilo jina walifupishe aisee...
hahaaaaHilo jina walifupishe aisee...
Kama ni kweli, walichofanya ni very Unprofessional; wanaendesha biashara kihuni kama baadhi ya mabasi wanavyo fanya halafu baada ya muda walalamike kukosa abiria kumbe wamewafukuza wenyewe...Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku, lakini ndeg iliondoka Saa tatu asubuhi, watu tumekesha Uwanja wa Ndege Mwanza, na Mbaya ni kwamba ATCL walikua wanajua wazi kwamba ndege yao itakuja Asubuhi lakini wakatupambapamba kwamba ndege inakuja mpaka kukacha.
Na hii sio mara ya kwanza kwa ndege hizi kutokwenda na wakati ambao wanakua wamepanga na ukiona safari ni saa mbili Usiku badi ujue kuondoka ni saa nne au saa sita Usiku.
kinachoniumiza ni kwamba tumezoea mashirika mengine ya Ndege Kote duniani kunapokua na dharula mashirika yanaingia gharama ya chakula na malazi kwa wateja wao lakini Air Tanzania wako radhi wakutelekeze VIP Mpaka kuche hata maji ya kunywa hawatoi.. nadhani wanatukosea sisi wateja wao na natamani ndege ikipata dharula watuhudumie sisi Abiria ila sio kututelekeza kama Mizigo.
Mkuu kuna abiria nampokea na kwenye simu hapatikani ina maana hamjatoka Mwanza mpaka saa 9?Hapa Leo wamehairisha ndege Toka saa Tano asbh mpaka saa Tisa usiku hili shirika halina muda litakuwa limekufa
Halafu mtu akisema tubinafsishe ATCL kwa DP WORLD tunaanza matusi tena kuwa nchi inauzwa!! Watanzania kubalini kuwa Serikali haiwezi biasharaShirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku, lakini ndeg iliondoka Saa tatu asubuhi, watu tumekesha Uwanja wa Ndege Mwanza, na Mbaya ni kwamba ATCL walikua wanajua wazi kwamba ndege yao itakuja Asubuhi lakini wakatupambapamba kwamba ndege inakuja mpaka kukacha.
Na hii sio mara ya kwanza kwa ndege hizi kutokwenda na wakati ambao wanakua wamepanga na ukiona safari ni saa mbili Usiku badi ujue kuondoka ni saa nne au saa sita Usiku.
kinachoniumiza ni kwamba tumezoea mashirika mengine ya Ndege Kote duniani kunapokua na dharula mashirika yanaingia gharama ya chakula na malazi kwa wateja wao lakini Air Tanzania wako radhi wakutelekeze VIP Mpaka kuche hata maji ya kunywa hawatoi.. nadhani wanatukosea sisi wateja wao na natamani ndege ikipata dharula watuhudumie sisi Abiria ila sio kututelekeza kama Mizigo.
Mlikutana wajinga watupu, mnalazwaje lounge na mnakenua?Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku, lakini ndeg iliondoka Saa tatu asubuhi, watu tumekesha Uwanja wa Ndege Mwanza, na Mbaya ni kwamba ATCL walikua wanajua wazi kwamba ndege yao itakuja Asubuhi lakini wakatupambapamba kwamba ndege inakuja mpaka kukacha.
Na hii sio mara ya kwanza kwa ndege hizi kutokwenda na wakati ambao wanakua wamepanga na ukiona safari ni saa mbili Usiku badi ujue kuondoka ni saa nne au saa sita Usiku.
kinachoniumiza ni kwamba tumezoea mashirika mengine ya Ndege Kote duniani kunapokua na dharula mashirika yanaingia gharama ya chakula na malazi kwa wateja wao lakini Air Tanzania wako radhi wakutelekeze VIP Mpaka kuche hata maji ya kunywa hawatoi.. nadhani wanatukosea sisi wateja wao na natamani ndege ikipata dharula watuhudumie sisi Abiria ila sio kututelekeza kama Mizigo.
Hivi kuendesha mashirika ya ndege kuna urasimu sana?Fastjet ilipokuwepo iliwapa ushindani mzuri...aliefukuza fastest ndie aliekosea sana
Yaani nakwambiaMlikutana wajinga watupu, mnalazwaje lounge na mnakenua?
Mlitakiwa kuwagomea asubuhi hadi kieleweke.
Hawa wapumbavu hawajaanza leo.
Enzi za mwrndazake ilinitokea mara 2.
Lakini walisogeza masaa 6 tu
KUMbe hujui hata kubeba mtoto mgongoni?Tena wana customer care mbaya sana, kuna kipindi nilikuwa natoka Mwanza to Dar halafu baada ya masaa mawili naunganisha Dar to Mbeya. Mwanza ilitakiwa tuondoke saa 2 asubuhi tukakalishwa mpaka saa 4 tena taarifa tunapewa hapo hapo uwanjani.
Ndege ya kwenda mbeya ilikuwa inaondoka saa 7 kasoro. Nafika Dar saa 6 tayari chek in ya Mbeya ishaisha, mkononi nina mtoto wa miezi 2 na mabegi 2 kubwa na dogo wahudumu hata kunisaidia wananiacha nahangaika wananihimiza wahi wahi utaachwa na ndege kuzunguka mle ndani ni parefu.
Kwanza nilisimama nikawawashia moto kwamba nikiachwa watanilisha na kunipa sehemu ya kulala koz ni fault yao. Pia kazi yao ni nini kama wanashindwa kumsaidia mteja wao hata mabegi wanaona nina mtoto. Ndio kujifanya wananisaidia. Inshort Air Tanzania wapo hovyo kabisa tofauti na Fastjet walikuwa poa.
Mwendazake alitaka ibaki ATCL tuHivi kuendesha mashirika ya ndege kuna urasimu sana?
Why yapo mawili tu?