trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Alikuwa mdogo ana miezi miwili nisingeweza kumbeba mgongoni, nilikuwa na baby carrier lakini muda haukuwa rafiki kuanza kumbeba wakati naenda kuchek in tena na nimechelewaKUMbe hujui hata kubeba mtoto mgongoni?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app