Air Tanzania wanatuchukulia sisi abiria wao kama takataka zisizo na thamani

Hapa Leo wamehairisha ndege Toka saa Tano asbh mpaka saa Tisa usiku hili shirika halina muda litakuwa limekufa

Na hapo wataahirisha mpaka saa tano asubuhi…shirika la kiwaki sana
 
nilipiga simu customer care nikaulizwa umewahi panda ndege? nikajibu hapana wakaniambia waulize kwanza wenzako waliowahi kupanda ndege.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…