macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Biashara ya ndege kwa ujumla ni ngumu ila inapokutana tena na mtanzania basi mambo yanakuwa mabaya zaidi. Nakubali kuwa tuna tatizo la management.Hasara tunazopata ni kutokana na Uendeshaji mbovu unaotokana na menejimenti mbaya...
Siku tukitafuta CEO ambaye ataajiriwa Kwa merits zake badala ya Uteuzi wa Rais ndiyo Siku ambapo tutaanza kupata Faida kwenye hizo ndege
Me natamani Siku Moja tupate CEO Mhindi tumpe kazi hata Kwa miaka miwili hivi tuone Uendeshaji wakeBiashara ya ndege kwa ujumla ni ngumu ila inapokutana tena na mtanzania basi mambo yanakuwa mabaya zaidi. Nakubali kuwa tuna tatizo la management.
Hili litawezekana tu siku tutakayokuwa na viongozi makini. hawa kina Kizimkazi wanaweza kwenda kuchukuwa mwarabu wakamwambia jifanye wewe ni mhindi.Me natamani Siku Moja tupate CEO Mhindi tumpe kazi hata Kwa miaka miwili hivi tuone Uendeshaji wake
Kifupi sisi Wabongo tunaangalia zaidi kula badala ya kutanguliza uzalendo
Hakuna ndege ya mtumba, C & D check inaweza kufanyika kokote benye maintenance and overhaul facilities ( MRO), East africa hakuna such facilityHii kali ya mwaka. Hii ndege si ilikuja ikiwa mpya na injini zake? kama C-check ilifanyika hapa nchini Matengenezo makubwa huko Malaysia yanahusu nini? Kama ndege iko Malaysia kwa D-check na sio USA au KIA ina maana tuliuziwa ndege mtumba-Ilipakwa rangi ikakabidhiwa kwa mamlaka zetu kama Kanyabwoya za Kariakoo?😡
Inaweza kuwa hivyo iwapo Air Tanzania itathaminiwa na kuorodhesha hisa zake kwenye soko letu la hisa, vinginevyo Serikali kuendelea kumiliki kampuni ya ndege kwa asilimia mia ndio chanzo cha ufisadi wa kitaasisi.Ili hayo mashirika yaanze kuendeshwa Kwa faida hatuna budi kuajiri ma-CEOs Kwa kuangalia merits na kuwapatia malengo ya kuyafikia (KPIs) na mwisho wa Mwaka tunawaita Kwa kuwahoji
Otherwise tutaendelea kupata hasara hadi Yesu arudi 🙌
Kimsingi tulihoji kwanini tununue ndege zenye engene makampuni mengine wanalalamikia ni mbovu? Tulishauri kampuni lianze na ndege ndogondogo aina ya bombadiar kabla ya kuhangaika na dreamliner ambazo KQ zimewatia umasikiniKwani marubani si wako Malaysia na posho wanapiga mkuu sijui mnaita per diem sijui nini vile jumlisha anayeidhinisha jibu ni urefu wa kamba kutoka Tanganyika mpaka Malaysia.
Mkuu, umenigusa maini hili shirika liorodheshwe dse liendeshwe kibiashara kodi zetu zitumike kwenye mambo yenye tijaInaweza kuwa hivyo iwapo Air Tanzania itathaminiwa na kuorodhesha hisa zake kwenye soko letu la hisa, vinginevyo Serikali kuendelea kumiliki kampuni ya ndege kwa asilimia mia ndio chanzo cha ufisadi wa kitaasisi.
Wapo ngozi nyeusi wazuri tu, tusiangalie uchawa, ona ceo wa vodacom ni mganda na anafanyakazi nzuriMe natamani Siku Moja tupate CEO Mhindi tumpe kazi hata Kwa miaka miwili hivi tuone Uendeshaji wake
Kifupi sisi Wabongo tunaangalia zaidi kula badala ya kutanguliza uzalendo
Sahihi MkuuInaweza kuwa hivyo iwapo Air Tanzania itathaminiwa na kuorodhesha hisa zake kwenye soko letu la hisa, vinginevyo Serikali kuendelea kumiliki kampuni ya ndege kwa asilimia mia ndio chanzo cha ufisadi wa kitaasisi.
Wapo ngozi nyeusi wazuri ndiyo lakini Wahindi wako vizuri zaidi kwenye biashara.Wapo ngozi nyeusi wazuri tu, tusiangalie uchawa, ona ceo wa vodacom ni mganda na anafanyakazi nzuri
Taarifa inasema ndege hizo mbili za Boeing 787-8 ziliishafanyiwa C-check nchini, Sasa hii ya Malaysia ni ya kuibadirisha injini ambazo bado ni mpya? Na kumbuka ndege iliyoko sasa Malaysia haikuruka sana tangu ilipopokelewa.. 🤔Hakuna ndege ya mtumba, C & D check inaweza kufanyika kokote benye maintenance and overhaul facilities ( MRO), East africa hakuna such facilities
Me nadhani tuangalie zaidi merits kuliko hicho kingineHili litawezekana tu siku tutakayokuwa na viongozi makini. hawa kina Kizimkazi wanaweza kwenda kuchukuwa mwarabu wakamwambia jifanye wewe ni mhindi.
Hili la kuleta wahindi sikubaliani nalo, yuliwaleta trc walituliza hujawahi ona, walichukua behewa na kuzipiga chenjikota kwako, nimefanyakazi na wahindo no kabisa, wakifanyakazi kwa makampuni yao yes they do best wanaogopa kurogwa, wakifanyakazi arabuni yes wanaogopa kuchinjwa, hii nchi ya wala rushwa watauza hadi majengi ya atcl, wapo watu wazuri tu yule mama aliyekuwa ceo wa Rwanda air ni mzuri sana tena mzaliwa wa ngara, pili ceo sio lazima awe rubani, tunaweza mpa huyu mama ceo wa nmb atatufanyia kazi nzuri.Wapo ngozi nyeusi wazuri ndiyo lakini Wahindi wako vizuri zaidi kwenye biashara.
Ukiwapa Mkataba wa miaka mitatu mitatu hivi, usishangae kuona wanavuka lengo
To be honest, Wahindi kwenye Sekta ya biashara wako miles away 🙌
kuna service ya engine ambazo zina require engine za ndege husika kutolewa, kufanyiwa service pembeni.Taarifa inasema ndege hizo mbili za Boeing 787-8 ziliishafanyiwa C-check nchini, Sasa hii ya Malaysia ni ya kuibadirisha injini ambazo bado ni mpya? Na kumbuka ndege iliyoko sasa Malaysia haikuruka sana tangu ilipopokelewa.. 🤔
Niliwahi kufanya kazi kwenye Kampuni mbili zinazoongozwa na Wahindi.Hili la kuleta wahindi sikubaliani nalo, yuliwaleta trc walituliza hujawahi ona, walichukua behewa na kuzipiga chenjikota kwako, nimefanyakazi na wahindo no kabisa, wakifanyakazi kwa makampuni yao yes they do best wanaogopa kurogwa, wakifanyakazi arabuni yes wanaogopa kuchinjwa, hii nchi ya wala rushwa watauza hadi majengi ya atcl, wapo watu wazuri tu yule mama aliyekuwa ceo wa Rwanda air ni mzuri sana tena mzaliwa wa ngara, pili ceo sio lazima awe rubani, tunaweza mpa huyu mama ceo wa nmb atatufanyia kazi nzuri.
Billion 400+ cash zimeenda na majiHii nayo ni mojawapo ya Legacy za mwendazake.
Yule mzee inafaa twende tukalichape bakora kaburi lake kila mara.
No myfriend, Mwenye kampuni alikuwa nani?Niliwahi kufanya kazi kwenye Kampuni mbili zinazoongozwa na Wahindi.
Walikuwa wazuri sana kwenye Sales/Marketing
Waliniambukiza na Mimi mbinu za ku-survive kwenye high tension market those days
Me nadhani Siku hizi Kuna mifumo ambayo inaweza kumfanya Mwajiri ambaye ni Serikali kuweza kuwa na check-balance
Kuibiwa hata sasa tunaibiwa na Wabongo wenzetu.
Hao Wahindi wakija tunawapora Passports zao ili wafanye kazi Kwa kujua our eyes on and hands are unfolds respectively
Mtazamo wako ni upi kwenye hilo Mkuu?No myfriend, Mwenye kampuni alikuwa nani?
Ndo nauliza hiyo kampuni uliyofanyakazi ikiongozwa na wahindi mmiliki wa hiyo kampuni alikuwa nani?Mtazamo wako ni upi kwenye hilo Mkuu?