Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Wahindi walipewa TRC na wakafeli vibaya sanaMe natamani Siku Moja tupate CEO Mhindi tumpe kazi hata Kwa miaka miwili hivi tuone Uendeshaji wake
Kifupi sisi Wabongo tunaangalia zaidi kula badala ya kutanguliza uzalendo
Air india ilifeli na wakawa wanatafuta watu wa kuwauzia sijajua wamefika wapi
Hakuna cha kumpa muhindi biashara ya ndege ni ngumu sana sio sawa na biashara nyingine