Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Nafuu 365,000/= Kipindi cha Fastjet ulikuwa unapanda nini ? Hio unayoita nafuu kipindi kabla hatujapata hizo ndege bei ilikuwa nzuri kuliko hio unayoiona nafuu
Hilo shirika la ATCL alina mda mrefu kwenye biashara kwasababu aliendani na hari halisi ya uchumi wa wananchi, Mtu aende Mbeya kuenda na kurudi kwa 520k kufanya nini kuna biashara gani huku ya kurudisha hiyo gharama. Watabaki na abiria watchache sana ili route zita anza kufa automaticallyHabari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali....
Kwa hadhi yako hutakiwi kulalamika mkuuHabari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.
Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.
Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.
Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.
Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
[emoji23][emoji23]umenikumbusha life la chuo mchana unapiga paper night upo bongo afu mashine ilikuwa airbus sio hivi vikopo upepo ukizidi vinayumbayumba anganiTutakukumbuka daima fastjet