Air Tanzania yapandisha nauli zake

Air Tanzania yapandisha nauli zake

Hao ni wapingaji , usishangae hata hiyo ndege yenyewe hajawahi kuipanda
Inaboa sana aisee...vijana wakishapata vi bundle kidogo wanawaza wakanzishe thread just to spread lies and get attention...hata hawatumii half of that bundle ku cross check huo uzishi wao angalau waweke uongo unaoelekea kwenye ukweli...kanakuja kanajiamini kabisa eti omba invoice utaona bei tofauti...hakajui kua kila kitu unamaliza kwenye cm within 3 minutes una tiketi yako kwenye email, print it or screenshot it...and the worse ni kuna watu wana wasupport bila kuverify their facts, povu kabisa linawatoka kushabikia uongo..very sad kwakweli.
 
Ukipandia kia huwa laki tatu a kurudi jumla laki sita
 
Halafu kwanini wameweka bei ya kukomoana kiasi hicho wakati dar to mwanza ni mteremko?
 
Hawa jamaa ni wajinga wangepunguza bei ili wapate full load na kuongeza routes,
Wajifunze kwa Fastjet alikuwa na bei ndogo,matangazo mengi na abiria wengi.
ATCL ifanye kazi kibiashara ; nendeni mkajifunze kwa wengine "wao wanawezaje na sisi tunashidwaje".
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
Una bahat sijawah pata return ticket kwa tzs 365,000....!
 
Mkuu
Narudia tena kijana dont seek our attention...now nimefanya booking ya 21days( from 21feb to 14th of March 2021)..screenshort attached...

hivi kwann mnapokua mnaandika hivi vitu hua hamconfirm facts zenu kwanza...unajiandikia tu promo ya 14days...haya mjuzi update desa lako kua promo X class ht ni 21days inawezekana...

JF is a home of great thinkers, you better check your facts right b4 you post anything otherwise utaumbuka
Mkuu nimechek nao ATC hiyo promo class wameipa validity ya mwezi sahivi na hizo changes wamefanya leo. Kama unaendelea kubisha fanya booking ya over 31dayz ukipata pungufu ya laki 4 natoa hii thread leo leo kabla ya saa sita
 
Narudia tena kijana dont seek our attention...now nimefanya booking ya 21days( from 21feb to 14th of March 2021)..screenshort attached...

hivi kwann mnapokua mnaandika hivi vitu hua hamconfirm facts zenu kwanza...unajiandikia tu promo ya 14days...haya mjuzi update desa lako kua promo X class ht ni 21days inawezekana...

JF is a home of great thinkers, you better check your facts right b4 you post anything otherwise utaumbuka
Naona mfanyakazi was ATClL unapambana kutetea uozo
 
Hii ATCL ndio nini tena jamani... Na yenyewe inalipiwa TRA?...
 
Naona mfanyakazi was ATClL unapambana kutetea uozo
ATCIL io ni kampuni inajihusisha na nn? Hii mada inahusisha ATCL io yako ifungulie thread yake tutakuja kuchangia huko.
 
Hao ni wapingaji , usishangae hata hiyo ndege yenyewe hajawahi kuipanda
Awe mpingaji asiwe mpingaji ni ukweli kuwa nauli za ATCL ni ghali sana sababu ya monopoly. Kwani enzi za fast jet wewe na wenzako mlikuwa bado vijijini hamsafiri kwa ndege? Fast jet waliwezaje na hawa kampuni ya wanyonge wameshindwaje!
 
Mkuu mbona kesho kuna ndege ya go and return mwanza kwa 341,600 (170,800x2) tena ni less ya hio 365,000 unayosema ni cheap..hio 420,000 unataka business class ama?km ndivyo then stop complaining and spread lies.
View attachment 1705645
Hapo bado kuna Tax na sijui service charges itapanda ila navyojuwa mashirika yote ya ndege hakuna fix price ukifanya booking mapema utapata bei rahisi lakini kila unavyochelewa labda na seat zimebaki chache bei inapanda na wakati mwingine ni mbinu za kibiashara uki book kabla ya mwezi unakutana na bei chini wakijuwa huyu aliye book hana dharura kapanga safari sasa ukija kutaka ku book siku 3 kabla ya safari wanajuwa hawa wana haraka na labda hawana option unakamuliwa. bahati mbaya wenye ma bus wakifanya haya wakati wa sikukuu huwa wanakamatwa japo naona sio sawa biashara huru demand and supply hata nyanya sokoni bei inabadilika wateja wakizidi.
 
Hata economic hazijajaa...nimetoka kuchek sasa hivi bado zipo siti 4...huyo jamaa mzenguaji tu, i think anapenda attention tu ndo maana kakimbilia humu ndani kuanzisha thread based on fabricated info akidhani hatutafuatilia kujirizisha na anachokilalamikia.
Hata hizo seat 4 wanaweka ivyo ununue haraka hapo unajuwa kweli zimebaki 4 nikichelewa nitakosa siku ukija kupanda unakuta kuna seat empy 10 unajuliza mhh mbona nilisoma 4 na mimi nilichukuwa 1. business tu kama kuandika bei dukani 299$ badala 300$ unaweza kudhani uan save 299 inavutia 🤣
 
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.

Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.

Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika pale wakanambia nauli ni kweli zimepanda.

Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.

Kuna haja ya mamlaka husika kupitia tena hivi viwango vya nauli, vina tuumiza sana sisi wananchi.
Kwenda Mwanza dar nauli yake ni tajwa hapo juu 365,000
Ila kwenda Mwanza na kusiko julikana ni 420,000

Jaribu kutafakari
 
Umeshasema hawana mpinzani sasa mteja akikimbia aende wapi? Hao ni kama Tanesco tuu yaani hata umeme upande vipi utanunuliwa tuu maana hakuna pa kukimbilia.

Hao wateja watahamia usafiri wa Ardhini... Kwani nauli ya Basi sh. Ngapi?
 
Back
Top Bottom