Air Tanzania yapandisha nauli zake

Mkuu mbona kesho kuna ndege ya go and return mwanza kwa 341,600 (170,800x2) tena ni less ya hio 365,000 unayosema ni cheap..hio 420,000 unataka business class ama?km ndivyo then stop complaining and spread lies.
View attachment 1705645
Labda kajichanganya huyo ,inawezekana alivyobook economy ilikua imeshajaa zimebaki seat za business na yeye akajua nauli imepanda
 
Mambosasa badala kwenye maabara ya Taifa wanatupima COVID kwa $100 kutoka $12 anasumbua Agha Khan !! Wamepandisha kipimo kutoka Tzs 40,000 Mpaka Tzs 240,000 kwa vigezo vipi ? Wagonjwa wa Covid anataka Agha Khan wacheze now ili isambae sio? Tumewajua waovu nyie
 
Me saivi npanda zangu ungo tu maisha yanasonga
 
Labda kajichanganya huyo ,inawezekana alivyobook economy ilikua imeshajaa zimebaki seat za business na yeye akajua nauli imepanda
Hata economic hazijajaa...nimetoka kuchek sasa hivi bado zipo siti 4...huyo jamaa mzenguaji tu, i think anapenda attention tu ndo maana kakimbilia humu ndani kuanzisha thread based on fabricated info akidhani hatutafuatilia kujirizisha na anachokilalamikia.
 
mkuu nna uzoefu na nachoongea.... sasa kukata mzizi wa fitna fanya full booking kwako halafu share nasi uone.... tatizo unaenda kwenye website na kuona tu. fanya full booking iwe reserved halafu uje na hiyo booking reference tuione. ukipata hiyo bei nafuta hii thread.
 
Nipe tarehe zako za safari nikuchekie
 
Kwahio wewe bei uliyowekewa kabla ya kufanya full booking ni tofauti na bei baada ya booking ?
 
Kwenda Mwanza na kurudi nilishazoea kupata bei nafuu ya laki 365,000 lakini jana nikakutana na kitu cha laki 420,000.
Ulijaribu kukata ticket ya kusafiri lini? Wakati unapata hizo ticket kwa TZS. 365,000/- ulikuwa umebook safari siku ngapi kabla ya safari yenyewe?

I am sure unafahamu kwamba bei za ndege zinapanda daily tunapokaribia siku ya safari. Ukibook leo ticket ya keshokutwa in most cases hutolipa sawa na aliyebook wiki mbili kabla
 
Mashirika ya JIWE yamebanwa kwelikweli na corona,hali ikiendelea hivyi ndani ya miezi 3 jiwe atatoka hadharani na kutangaza "kutokana na ujio wa pili wa corona ya ajabu ajabu iliyoletwa na watanzania wenzetu waliotusaliti kwa kupokea chanjo ya mabeberu,nalazimika kufanya haya maamuzi magumu ya kusitisha ulipaji wa mishahara ya watumishi wote wa umma mpaka pale wagonjwa wote wa corona wasiokuwa wasukuma watakapokuwa wamekufa na kuzikwa "
 
Kuna Sauli Dar es Salaam ~Mbeya Tshs 45000/= X 2 = 90000/=
Inahitajika Rocket Science Hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…