Air Tanzania yapandisha nauli zake

wewe sio frequently traveller alafu inategemea unasafiri na ndege ya saa ngapi ndege za asubui sana always huwa cheap ukisafiri mchana bei kubwa
 
weka na vielelezo mkuu ..
 
Umewahi kukata tiketi ya ndege wewe.??


Sasa hiyo Bei uliyoiona omba invoice ya kulipia hiyo tiketi halafu urudi hapa Tena.
 
mkuu hiyo ni X class kwa wajuzi inaitwa promo class ambayo kwa ATC validity yake ni 14dayz .... hiyo huwekwa wakati wa low season tena mara chache sana.... fanya booking ambayo safari ya kwenda na kurudi iwe over 15days uone bei zake.
 

Mi7 Tena.
 
Wenye uwezo wa kupanda wapo tusilazimishe mambo..........kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Umewahi kukata tiketi ya ndege wewe.??


Sasa hiyo Bei uliyoiona omba invoice ya kulipia hiyo tiketi halafu urudi hapa Tena.
We ndo hujawahi kukata tiketi ila unajitia ujuaji while hujui kitu...hapo naomba invoice ya nn while ukimaliza ku confirm booking instantly unapata no ya kulipia kwa simu kwa amount kwa iiyowekwa hapo kwenye screenshot ukimaliza kulipia unapata email ya tiketi yako...ningekua nasafiri ningelipia then nikakutumia screenshort ya tiketi unfortunately sisafiri...next time acha ujuaji wakat hujui kitu...hayo mambo ya kuomba invoice sijui uliyaskia yanasimuliwa wapi ukayabeba km yalivyo.
 
mkuu hiyo ni X class kwa wajuzi inaitwa promo class ambayo kwa ATC validity yake ni 14dayz .... hiyo huwekwa wakati wa low season tena mara chache sana.... fanya booking ambayo safari ya kwenda na kurudi iwe over 15days uone bei zake.
Narudia tena kijana dont seek our attention...now nimefanya booking ya 21days( from 21feb to 14th of March 2021)..screenshort attached...

hivi kwann mnapokua mnaandika hivi vitu hua hamconfirm facts zenu kwanza...unajiandikia tu promo ya 14days...haya mjuzi update desa lako kua promo X class ht ni 21days inawezekana...

JF is a home of great thinkers, you better check your facts right b4 you post anything otherwise utaumbuka
 

Attachments

  • Screenshot_20210218-221126_Chrome.jpg
    27.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210218-221126_Chrome.jpg
    27.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210218-221126_Chrome.jpg
    27.5 KB · Views: 2
Hao ni wapingaji , usishangae hata hiyo ndege yenyewe hajawahi kuipanda
 
Shabiby HAIPO KWANI?
 
Hawa jamaa ni wajinga wangepunguza bei ili wapate full load na kuongeza routes,
Kwa formula gani ???

Abiria wengi na nauli ndogo wanazalisha hela nyingi kuliko wachache na ma nauli makubwa? Kivipi ?
 
Atcl hawana mpinzani kwa route za ndani... Kuzidisha nauli Mara dufu Ni kufukuza wateja...
Umeshasema hawana mpinzani sasa mteja akikimbia aende wapi? Hao ni kama Tanesco tuu yaani hata umeme upande vipi utanunuliwa tuu maana hakuna pa kukimbilia.
 
Yani wewe mshahara wa mtu unadhurulia huko angani....!?
Na unasema nafuu. !?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anazurura angani na mshahara wa mtu daah.... Kwanza kama usafiri wako ni wa ndege hutakiwi kamwe kulalamika eti nauli iko juuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…