Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu aya ya mwisho ndilo jibu.Hili lilijulikana mapema kabisa kwamba hili shirika linaenda kufa,hasa baada ya mnunuzi wa hiyo mindege kufariki.
Binafsi namkubali sana Magu kwa mambo mengi ya maendeleo. Nilipingana nae kwenye kulifufua hili shirika kwa ununuzi wa hiyo mindege. Ona sasa sidhani hata kama kuna faida yoyote imepatikana badala ya hasara. Akachukiza kwa kuliua shirika la ndege la wanyonge FAST JET. Tuombe sasa hili shirika la ndege la Fast jet liombe kibali haraka,iwe mbadala wa ATC. Hata hayo mandege wayakope wayarekebishe
Na hapo ujue upo uwezekano mkubwa wa mafisadi kuingilia na kuitafuna shirika,hasa ksbb kwa sasa hakuna msimamizi kwenye mashirika mengi aliyoyasimamia vizuri Magu. Yanafunwa hatari na mchwa kwa sasa. Mama hana habari.
Rost tam ameingia kuwekeza kwenye midege tarajia shirika la ATCL kuzikwa.
Huyu jamaa huyu kaishika serikali kila kona