Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

Mkuu aya ya mwisho ndilo jibu.

Rost tam ameingia kuwekeza kwenye midege tarajia shirika la ATCL kuzikwa.
Huyu jamaa huyu kaishika serikali kila kona
 
Sii kila kinachonunuliwa kimechukuliwa mkopo. Sasa tumelipia ndege 5 zingine na hakuna mkopo uliochukuliwa ili kununua hizo ndege.

Nb: mikopo inachukuliwa, Ila sio kweye kila kitu
Ok halafu unachukua mkopo mwingine kwa kujenga daraja la Jangwani na umeme wa Rea!

Hapa busara gani inatumika?
 
Mkuu seems unajua kitu.
 
Kwa kifupi paskali sasa umetamka wazi kama ambavyo tumetamka sana kwamba Magufuli alikuwa mfalme juha.
JPM hakuwa juha, aliona sisi tunataka ndege na kuna ndege sokoni zimepangwa kama nyanya, alipoulizwa akaelezwa una press order, tunakutengenezea and it will take time, huu mzigo ni wa mtu, ali order ila hajamaliza kulipia, kama una cash, tunakupa, na yeye tutamtengenezea nyingine. Akamuuliza mpwa vipi chungu kina cash, akaambiwa ipo, then akatoa oder chota cash piga tanchi midege itue!.

Wanaojua walipaswa kumsaidia, akina sisi tulishauri Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

Now its too late acha tuendelee kuvuna tulichopanda.
P
 
Waliomshauri hakuwasikiliza. Wewe mbona uliuliza tu swali ukaishia kupigwa na 'mayalla'?
 
Kwa nilivoelewa, shida ni injini. Na mtengeneza injini ambae ni Platt and Whitney aliepaswa kuzifanyia matengenezo ametingwa na kazi ratiba inakuwa ngumu kwake. Je wanapaswa kutulipa kwa muda wote ndege ziliosimama kwa uzembe wao?
Ametingwa na ratiba kwani hapo ni kwa mganga wa kienyeji kuwa unaipeleka bila ya taarifa? Au hajaalipwa gharama za matengenezo za nyuma? Sijawahi kusikia sababu hii kwa kampuni kubwa kama hizo.
 
Mafisadi wameisha andaa mpango kazi (ila nasikia Rostam kanunua ndege zake hataki ushindani kabisa 😭😭😭pole sana tanganyika yangu
combination ya RA na Karamagi - kaa mbali.

We're back, asiyetutaka atangulie Burundi.
 
Manunuzi ya hizi ndege yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja. Hapa kama Taifa tulipigwa.

Mbaya zaidi aliyenunua hii midege kishajifia siku nyingi. Yaani hapo hamna kesi tena.

Yule jamaa kaliachia taifa hasara kubwa mno.
 
Mkuu aya ya mwisho ndilo jibu.

Rost tam ameingia kuwekeza kwenye midege tarajia shirika la ATCL kuzikwa.
Huyu jamaa huyu kaishika serikali kila kona
Kama Rostam kaingia basi lazima atumie mianya ya udhaifu wa serikali iliyopo kuliua kirahisi sana shirika analotarajia yeye litakuwa na upinzani kwake. Pia ujue kachungilia huko kaona fursa kubwa. Ujue yule ni jasusi mbobezi wa kiuchumi. Ukimruhusu huyu bwana kwenye uchumi. Lazima uwe makini sana na maeneo unayompatia ya kufanyia kazi. Magu alikuwa alikuwa anawaangalia hawa kwa hicho la pili.
 
Interesting....Kwahiyo ATCL inaanza kusuasua baada ya JPM kulala?
 
Manunuzi ya hizi ndege yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja. Hapa kama Taifa tulipigwa.

Mbaya zaidi aliyenunua hii midege kishajifia siku nyingi. Yaani hapo hamna kesi tena.

Yule jamaa kaliachia taifa hasara kubwa mno.
Mbaazi ikikosa maua huwa ina tabia ya kusingizia jua. Ndege ziko grounded sababu ya hitilafu. Tusianze kudanganyana
 
Hivi kwanini hustuki zote kwa mkupuo zinasimamishwa , ATCL manajua utaratibu wa kufanya maintance service .Ndege zote uizisimamisha kwa wakati mmoja huoni kwamba unaathiri ratiba za ndege zako. Hesabu kuanzia sasa ni miezi mingapi itapita kabla ya kupaa tena
 
Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3, mwaka huu na imeegeshwa katika Uwanja wa Ndege wa Maastricht Aachen nchini Uholanzi. Ndege ya pili iliruka mara ya mwisho Agosti 27. Ndege ya tatu A220 haijaruka tangu Novemba 5.

========================Zinataga

Ndege ya Air Tanzania inazunguka tu hapa Mwanza na inaonekana kama umeshindwa kutua
 
Kwani ndege zingine za aina hii "dunia nzima" bado zinaruka ?

News report ya mada hii imesemaje kuhusu hali ya ndege nyingine kama hizo "dunia nzima" ?

Umesoma article yote mwanzo mpaka mwisho ????
Issue IkiSHAKUWA UPANDE wa injini ni ya manufacturer, na hivyo huhitajia kujishauri au kuchagua muda wako wa utekelezaji, huwa ni order inayotakiwa kutekelezwa na wahusika wote kwa pamoja, na kwa wakati mmoja
 
Tulisema hayo mandege ni chakavu na ni mzigo kwa taifa, mkatubishia
Tuendelee kutumia bombadia...!?
Bombardier nazo ni Airbus. Kaa ukijua hizo ndege zilizo doda zilitengenezwa Canada 🇨🇦 na kiwanda cha Bombardier, kabla hatujakabidhiwa, kiwanda kikauzwa kwa Airbus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…