fahad singh
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 207
- 490
[emoji3575]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtambo huu aisee hadi raha mkiumiliki[emoji3575]View attachment 2815293
😃😃😃Masaa 16 (non-stop).
Wamezirudisha hewan huenda walizirekebisha (Sina uhakika)Hiyo Airbus A380 ni ndege kwakweli na ina paa angani bila shaka kabisa, hivi ile Max ndio ilisimamishwa kabisa?
Alafu ibebe nini? Unaijua vzr biashara ya ndege?Kama JPM angekuwa hai huenda angethubutu kununua hata ndege moja ya aina hiyo!
Mtu mwenyewe anaitwa Poor Brain unategemea aongeze kitu gani mbali na uchiziWewe jenga hoja roho ya kwanini utakufa maskini, badala ya kujiuliza vipi hawa wameweza sisi tunakwama wapi? Hawa ni watu walikuwa wanajuwa wanataka kwenda wapi, haya unayo yaona ya Emirates ni mipango ilikuwepo toka siku ya kwanza wanaanzisha hii shirika kwa kukodi ndege toka Pakistan Air, ndege yao ya kwanza ya kukodi. Kama una mawazo ya kijinga eti sisi ndio tumewatajirisha mzee rudi shule, ujiulize hivi hawa uchumi wao wanategemea nini haswa. Budget ya Dubai tu sisemi UAE nasema Dubai tu ni mara 4 ya budget ya Tanzania yote.
Saa 16, mumbai -ADB?Masaa 16 (non-stop).
Masaa 16 (non-stop).
Jitahidi usichelewe mana kampuni nying zinzozimiliki zinazigeuza kuwa cargo plane. Pacha wake B 747 kashasanda upande wa abiria
Mkuu unamaanisha Dubai na UAE ni nchi mbili tofauti, au unaamaanisha bajeti ya California vs USA!?Wewe jenga hoja roho ya kwanini utakufa maskini, badala ya kujiuliza vipi hawa wameweza sisi tunakwama wapi? Hawa ni watu walikuwa wanajuwa wanataka kwenda wapi, haya unayo yaona ya Emirates ni mipango ilikuwepo toka siku ya kwanza wanaanzisha hii shirika kwa kukodi ndege toka Pakistan Air, ndege yao ya kwanza ya kukodi. Kama una mawazo ya kijinga eti sisi ndio tumewatajirisha mzee rudi shule, ujiulize hivi hawa uchumi wao wanategemea nini haswa. Budget ya Dubai tu sisemi UAE nasema Dubai tu ni mara 4 ya budget ya Tanzania yote.
mbona unatunga destinations zako? Mtoa mada kasema Dubai - San Francisco ndio masaa 16, wewe unaleta Mumbai-ADB? By the way ADB ndo wapi huko?Saa 16, mumbai -ADB?
Unaweza kusema kama USA maana kila state ina budget yake na sheria zake lakini kuna Federal budget. Kwa Dubai ni emirates na utawala wake, police wake, local goverment yake kwa kiasi kikubwa inajitegemea lakini Dubai sio nchi kwa maana wako katika umoja wa nchi za kiarabu kwa maana UAE. Mfano uko sahihi ni kama California vs USA, hoja yangu tuchukulie mfano wa Calfornia au state yoyote USA, je Tanzania budget yetu ni kama state gani USA na uhakika hakuna sababu shirika la Apple tu revenue yake kama bara la Africa lote kwa mwaka.Mkuu unamaanisha Dubai na UAE ni nchi mbili tofauti, au unaamaanisha bajeti ya California vs USA!?
Nimekuewa sana MkuuUnaweza kusema kama USA maana kila state ina budget yake na sheria zake lakini kuna Federal budget. Kwa Dubai ni emirates na utawala wake, police wake, local goverment yake kwa kiasi kikubwa inajitegemea lakini Dubai sio nchi kwa maana wako katika umoja wa nchi za kiarabu kwa maana UAE. Mfano uko sahihi ni kama California vs USA, hoja yangu tuchukulie mfano wa Calfornia au state yoyote USA, je Tanzania budget yetu ni kama state gani USA na uhakika hakuna sababu shirika la Apple tu revenue yake kama bara la Africa lote kwa mwaka.
Mkuu Dubai ni makelele (na flash lifestyles tu) wenye pesa na mafuta ya kutosha ni ABU DHABI, wakati mwingine ABU DHABI aliwahi kumnusuru DUBAI kutoka kufilisika.Unaweza kusema kama USA maana kila state ina budget yake na sheria zake lakini kuna Federal budget. Kwa Dubai ni emirates na utawala wake, police wake, local goverment yake kwa kiasi kikubwa inajitegemea lakini Dubai sio nchi kwa maana wako katika umoja wa nchi za kiarabu kwa maana UAE. Mfano uko sahihi ni kama California vs USA, hoja yangu tuchukulie mfano wa Calfornia au state yoyote USA, je Tanzania budget yetu ni kama state gani USA na uhakika hakuna sababu shirika la Apple tu revenue yake kama bara la Africa lote kwa mwaka.