Ni kweli Abudhabi ana pesa kuliko Dubai lakini Dubai ana pesa kuliko Tanzania? au... maana hii ndio hoja hapa kila mtu ana mbabe wake. Ni sawa kusema rafiki yako James ana pesa kuliko wewe halafu wewe ujitetee lakini Bakhresa ndio mwenye pesa James ni mbwembwe tu. Mimi nawasifu Dubai pamoja na kuwa jirani yake Abudhabi kipesa yuko juu ila wameweza kuondokana na utegemezi wa mafuta kuwa na uchumi usiotegemea natural resource hapa Dubai wamewapiga bao. Dubai wanamchango mkubwa kwenye federal state budget ndio maana wanakuwa na makamu wa Raisi na waziri mkuu. Usi underestimate Dubai viongozi wao another level..Mkuu Dubai ni makelele (na flash lifestyles tu) wenye pesa na mafuta ya kutosha ni ABU DHABI, wakati mwingine ABU DHABI aliwahi kumnusuru DUBAI kutoka kufilisika.