Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Mkuu Dubai ni makelele (na flash lifestyles tu) wenye pesa na mafuta ya kutosha ni ABU DHABI, wakati mwingine ABU DHABI aliwahi kumnusuru DUBAI kutoka kufilisika.
Ni kweli Abudhabi ana pesa kuliko Dubai lakini Dubai ana pesa kuliko Tanzania? au... maana hii ndio hoja hapa kila mtu ana mbabe wake. Ni sawa kusema rafiki yako James ana pesa kuliko wewe halafu wewe ujitetee lakini Bakhresa ndio mwenye pesa James ni mbwembwe tu. Mimi nawasifu Dubai pamoja na kuwa jirani yake Abudhabi kipesa yuko juu ila wameweza kuondokana na utegemezi wa mafuta kuwa na uchumi usiotegemea natural resource hapa Dubai wamewapiga bao. Dubai wanamchango mkubwa kwenye federal state budget ndio maana wanakuwa na makamu wa Raisi na waziri mkuu. Usi underestimate Dubai viongozi wao another level..
 
INAWEZEKANA JE WAVAA KOBAZI HAO WAMEPEWA FURSA ZA KUONESHA VIPAWA KWA NCHI YAO ?AU NI KAZI GANI HIZI ZA KULIMA AU ZA SERIKALINI ?NIMEPENDA NI CHANGAMOTO NZURI KWA VIJANA
Hata wavae katambuga ila walifunga mikataba yenye maslahi na mataifa yao
Nilicheza Atari huko mwaka 78 na kabla walikuwa tayari wana maisha mazuri na hela zao zikiwa na thamani zaidi ya $

Ila sisi mikataba ya hovyo ambayo mnajengewa vyoo karne ya 21
Kundi la watu wasiozidi Laki ndio wanagawana na nyie mnakenua meno kwa kufurahia umasikini

Umasikini ni laana na wao walilijua hilo ndio maana leo wana maisha ya kuweza kumuajiri mtu yeyote awafanyie kazi nao wakila bata

Rasilimali zetu almasi bora mchezee gololi tu
 
Back
Top Bottom