Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Dubai wananunua ndege za makafir..
Wanauza vilevi ndani ya ndege..
Wanasafirisha makafir..
Hii sio nchi ya kiislam ni waswali ijumaa tu
 
Mtu mwenyewe anaitwa Poor Brain unategemea aongeze kitu gani mbali na uchizi
 
Binafsi nimejiuliza sana, hao abiria 500_800 wanapatikana vipi Kwa mara Moja!? Naamini capacity ya watu 200 mpaka 250 ni idadi tosha sana
Jitahidi usichelewe mana kampuni nying zinzozimiliki zinazigeuza kuwa cargo plane. Pacha wake B 747 kashasanda upande wa abiria
 
Mkuu unamaanisha Dubai na UAE ni nchi mbili tofauti, au unaamaanisha bajeti ya California vs USA!?
 
Mkuu unamaanisha Dubai na UAE ni nchi mbili tofauti, au unaamaanisha bajeti ya California vs USA!?
Unaweza kusema kama USA maana kila state ina budget yake na sheria zake lakini kuna Federal budget. Kwa Dubai ni emirates na utawala wake, police wake, local goverment yake kwa kiasi kikubwa inajitegemea lakini Dubai sio nchi kwa maana wako katika umoja wa nchi za kiarabu kwa maana UAE. Mfano uko sahihi ni kama California vs USA, hoja yangu tuchukulie mfano wa Calfornia au state yoyote USA, je Tanzania budget yetu ni kama state gani USA na uhakika hakuna sababu shirika la Apple tu revenue yake kama bara la Africa lote kwa mwaka.
 
Nimekuewa sana Mkuu
 
Mkuu Dubai ni makelele (na flash lifestyles tu) wenye pesa na mafuta ya kutosha ni ABU DHABI, wakati mwingine ABU DHABI aliwahi kumnusuru DUBAI kutoka kufilisika.
 
Kesho naendelea na safari yangu to LONDON (LHR) baada ya mapumziko ya siku 2 hapa Dubai. Nitakwea hii chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…