and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town).
2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2).
3. Huduma zao mbovu kwenye ndege zao kuanzia misosi, wahudumu (wabaguzi-ukiwa ngozi nyeusi jiandae kunyaliwa) wanakuja Dar kutokea Johannesburg ila wanaleta ndege ndogo Embraer 190 kiukweli hizi ndege zinafaa trip za saa 1-2
4. Kwa Dar-Joburg ningeshauri wangeleta ndege kubwa zaidi kuanzia ukubwa wa Boeing 737 na kuendelea.
View: https://www.youtube.com/watch?v=pys65_9RcYY