Airlink ni kero

Airlink ni kero

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town).

2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2).

3. Huduma zao mbovu kwenye ndege zao kuanzia misosi, wahudumu (wabaguzi-ukiwa ngozi nyeusi jiandae kunyaliwa) wanakuja Dar kutokea Johannesburg ila wanaleta ndege ndogo Embraer 190 kiukweli hizi ndege zinafaa trip za saa 1-2

4. Kwa Dar-Joburg ningeshauri wangeleta ndege kubwa zaidi kuanzia ukubwa wa Boeing 737 na kuendelea.

View: https://www.youtube.com/watch?v=pys65_9RcYY
 
Unakata ticket ya airline gani? Hebu iweke vizuri tuelewe.
Mkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumia usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto sana bei kubwa ila huduma za kubumba tofauti na mashirika mengine kama KQ, ET/Malawian na Rwandair
 
Mkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumi usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink Kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto Sana Bei kubwa ila huduma za kubumba tofaut na mashirika engine kana KQ, ET na Rwandair
Jaribu air Malawi nadhani bei zao rafiki sijui kuhusu huduma.
 
Embraer 190
1280px-JetBlue_Embraer_190_N238JB_Photo_3.jpg

Hii si raia 100-120 tu.
 
1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town).

2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2).

3. Huduma zao mbovu kwenye ndege zao kuanzia misosi, wahudumu (wabaguzi-ukiwa ngozi nyeusi jiandae kunyaliwa) wanakuja Dar kutokea Johannesburg ila wanaleta ndege ndogo Embraer 190 kiukweli hizi ndege zinafaa trip za saa 1-2

4. Kwa Dar-Joburg ningeshauri wangeleta ndege kubwa zaidi kuanzia ukubwa wa Boeing 737 na kuendelea.
sito sahau nimeenda kukata tiket ya ethiopia airline kuja dar toka jozi wakanipandisha air malawi
 
Kuhusu suala la gharama kuwa kubwa ni kweli, nimewahi kusafiri nayo kwenda Arusha kutokea DSM.

Kwenda na kurudi nililipa 1,080,000 🙌
 
Back
Top Bottom