Unakata ticket ya airline gani? Hebu iweke vizuri tuelewe.Bei mikasi kulinganisha na KQ, ET
Yule mkulima aliyekamata ndege yetu mlishamaliza deni lake?Air Tanzania kwa nini hawapeleki ndege SA
Mkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumia usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto sana bei kubwa ila huduma za kubumba tofauti na mashirika mengine kama KQ, ET/Malawian na RwandairUnakata ticket ya airline gani? Hebu iweke vizuri tuelewe.
Jaribu air Malawi nadhani bei zao rafiki sijui kuhusu huduma.Mkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumi usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink Kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto Sana Bei kubwa ila huduma za kubumba tofaut na mashirika engine kana KQ, ET na Rwandair
sito sahau nimeenda kukata tiket ya ethiopia airline kuja dar toka jozi wakanipandisha air malawi1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town).
2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2).
3. Huduma zao mbovu kwenye ndege zao kuanzia misosi, wahudumu (wabaguzi-ukiwa ngozi nyeusi jiandae kunyaliwa) wanakuja Dar kutokea Johannesburg ila wanaleta ndege ndogo Embraer 190 kiukweli hizi ndege zinafaa trip za saa 1-2
4. Kwa Dar-Joburg ningeshauri wangeleta ndege kubwa zaidi kuanzia ukubwa wa Boeing 737 na kuendelea.
Huduma ni poa kabisaJaribu air Malawi nadhani bei zao rafiki sijui kuhusu huduma.
Wewe ni mshamba.sito sahau nimeenda kukata tiket ya ethiopia airline kuja dar toka jozi wakanipandisha air malawi
Airlink gharama zao ni kubwaKuhusu suala la gharama kuwa kubwa ni kweli, nimewahi kusafiri nayo kwenda Arusha kutokea DSM.
Kwenda na kurudi nililipa 1,080,000 🙌
wewe mjanja umeshavuka hata morogoro tuanze na weweWewe ni mshamba.
Malawi Airlines ni subsidiary ya Ethiopian Airlines.
Jiandae kukwama Malawi kwa siku moja au mbiliJaribu air Malawi nadhani bei zao rafiki sijui kuhusu huduma.
Hizi pesa huwa mnaokota wapi? Yani return ticket Arusha nilipe pesa hiyo? Hata Dar Mwanza sitowi nauli hiyo.Kuhusu suala la gharama kuwa kubwa ni kweli, nimewahi kusafiri nayo kwenda Arusha kutokea DSM.
Kwenda na kurudi nililipa 1,080,000 🙌
Unapokata ticket ya ndege siyo Air Msae, route yako yote ipo kwenye ticket.Jiandae kukwama Malawi kwa siku moja au mbili
By the way hii iko operated na ET