Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ilikuwa ni safari ya lazima japo iliniuma sana kulipa hela nyingi hivyo.Hizi pesa huwa mnaokota wapi? Yani return ticket Arusha nilipe pesa hiyo? Hata Dar Mwanza sitowi nauli hiyo.
Nadhani wateja wao wengi ni watasha, maana hata Mimi nilipopanda abiria wengi walikuwa ni watalii 🙌Airlink gharama zao ni kubwa
Usikariri mkuu!Layover Blantyre haizidi (maximum) masaa mawili. Tena siku ya kwenda si Zaid ya dakika 30 mnabadilisha pipa kuelekea Johannesburg
Acha kushoboka. Najua hizo mambo kukuzidiUnapokata ticket ya ndege siyo Air Msae, route yako yote ipo kwenye ticket.
Mkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumia usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto sana bei kubwa ila huduma za kubumba tofauti na mashirika mengine kama KQ, ET/Malawian na Rwandair
KenyaMkuu Mimi Ni mfanyabiashara nachukua bidhaa SA. So mara nyingi natumia usafiri wa ndege kufuata bidhaa SA (Joburg, CPT na PE) nimetumia Airlink kwa mara ya kwanza wiki iliyopita Kwa kweli ni changamoto sana bei kubwa ila huduma za kubumba tofauti na mashirika mengine kama KQ, ET/Malawian na Rwandair
Itakuwa ndege za kiboko ya wachawi khaHizi pesa huwa mnaokota wapi? Yani return ticket Arusha nilipe pesa hiyo? Hata Dar Mwanza sitowi nauli hiyo.
Ulikuwa unawahinmsiba nn kha helayotee hii lekaaaaaKuhusu suala la gharama kuwa kubwa ni kweli, nimewahi kusafiri nayo kwenda Arusha kutokea DSM.
Kwenda na kurudi nililipa 1,080,000 🙌
Ilikuwa nakwenda kikazi, bahati nzuri Ofisi ilinilipia 😅Ulikuwa unawahinmsiba nn kha helayotee hii lekaaaaa
Mkulima ilikua geresha tu ili Air Tanzania isifanye kazi SA hakuna sehemu wateja wa moja kwa moja ni wengi pamoja na mizigo nakumbuka hata fast jet walikua wanafanyiwa umafia sana sema kwa kuwa sisi tupo busy na siasa fitna za biashara hatuzijui tumekaa tu na kuamini mkulima ndie chanzo wakati Kenya wangepambana kweli kwa kuwatumia wanasheria wa ukweli ili hilo lifanikiwe..Yule mkulima aliyekamata ndege yetu mlishamaliza deni lake?
Nina taarifa very soon South African Airways inaanza tena route yake ya Dar to Johannesburg.Mkulima ilikua geresha tu ili Air Tanzania isifanye kazi SA hakuna sehemu wateja wa moja kwa moja ni wengi pamoja na mizigo nakumbuka hata fast jet walikua wanafanyiwa umafia sana sema kwa kuwa sisi tupo busy na siasa fitna za biashara hatuzijui tumekaa tu na kuamini mkulima ndie chanzo wakati Kenya wangepambana kweli kwa kuwatumia wanasheria wa ukweli ili hilo lifanikiwe..
SA wanapata faida kubwa sana kwenye hii route kuliko sisi na wanaitegemea mno ila nina taarifa kuwa wapo Watanzania wanapata hela kupitia SA Airways ndio wanakwamisha Air Tanzania kwenda SA.Nina taarifa very soon South African Airways inaanza tena route yake ya Dar to Johannesburg.
Amen hapo sawia kabisa mkuuIlikuwa nakwenda kikazi, bahati nzuri Ofisi ilinilipia 😅