Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ila zile ndege Kwa route ya DSM - Arusha inabeba zaidi Watalii, maana hata Siku ile Mbongo nilikuwa Mimi pekee na rubani Msaidizi 🙌Amen hapo sawia kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila zile ndege Kwa route ya DSM - Arusha inabeba zaidi Watalii, maana hata Siku ile Mbongo nilikuwa Mimi pekee na rubani Msaidizi 🙌Amen hapo sawia kabisa mkuu
Hata hivyo hiyo ni ndege ya Kampuni binafsiNa bado nchi maskin
Watakua wale wahindi ma-AgentSA wanapata faida kubwa sana kwenye hii route kuliko sisi na wanaitegemea mno ila nina taarifa kuwa wapo Watanzania wanapata hela kupitia SA Airways ndio wanakwamisha Air Tanzania kwenda SA.
Air Tanzania imeanza Dar-JoburgSA wanapata faida kubwa sana kwenye hii route kuliko sisi na wanaitegemea mno ila nina taarifa kuwa wapo Watanzania wanapata hela kupitia SA Airways ndio wanakwamisha Air Tanzania kwenda SA.
Uhamiaji pale Oliver Tambo wanawasumbua sana Watanzania ingawaje hawasemi mpaka wengine wanarudishwa hawataki mtu aliezidisha siku 90 kuishi ndani ya SA ukitumia ndege utarudishwa ila kwa Bus kwa kupitia Botswana hawana huo usumbufu..Air Tanzania imeanza Dar-Joburg