Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Tosha aisee usimalize mchuzi , iyo terminal ya mwanza mda sio mrefu inazinduliwa tunakua eapoti nne zenye hadhi ya kimataifaaUsisahau kuna jengo la abiria la Mwanza Airport pia na Tanga kuna plan ya airport pia ready for EACOP!