AirTanzania kufanya safari zake mara 3 kwa wiki DSM-Harare Zimbabwe

An awful way to start business, who is going to Zimbabwe? What about negotiating with the SA government to land there instead of a poor country like Zimbabwe? That's why most of us are willing to go and fly from Kenya. We are in good terms ( bilaterally ) with most powerful countries in Africa like Morocco, South Africa and Kenya but we choose to do business with poor folks. This whole Air Tanzania thing is going to eat us alive.
 
Zimbabwe baada ya kuondoka Mugabe imeanza kuwavutia wawekezaji & wataliii ni route nzuri .Tatizo kubwa route ya SA ushindani ni mkubwa sana mashirika kama SA na ET tayari wame-dominate hiyo route
 
Zimbabwe baada ya kuondoka Mugabe imeanza kuwavutia wawekezaji & wataliii ni route nzuri .Tatizo kubwa route ya SA ushindani ni mkubwa sana mashirika kama SA na ET tayari wame-dominate hiyo route
Wapi ambapo hakuna ushindani?
 
Zimbabwe baada ya kuondoka Mugabe imeanza kuwavutia wawekezaji & wataliii ni route nzuri .Tatizo kubwa route ya SA ushindani ni mkubwa sana mashirika kama SA na ET tayari wame-dominate hiyo route
Sehemu yenye ushindani mkubwa ndo yenye hela, ukiogopa ushindani mkubwa utakufa kibiashara .
 
Youre a dumb one, zimbabwe has more tourist than Tz, huoni hata huyo mzungu anasema a great link btn Victoria falls and zanzibar, victoria fall attract most tourist in zimbabwe, just like zanzibar in tz
 


Brother,

Be positive kidogo. Hata hiyo KQ inakwenda Malawi, Zimbabwe, Harare nk. Why not ATCL our own? Mbona FastJet anakwenda Harare sijaona malalamiko? Yes, Morocco et all, are potential destinations, Lakini lazima twende kwa hatua.

Folks tufike sehemu tukubali na tutofautishe kati ya Magufuli na Tanzania! Tanzania ni nchi yetu, si vema kila siku kusimanga kila kinachofanywa na JPM. JPM in few years will be a history. But TZ will always be there. tupo au hatupo!

Aviation ni industry ngumu. Lets be proud na hii hatua. Humu humu JF Tz ilisimangwa sana kwamba haina hata ndege moja na always tukilinganishwa na Rwanda (kanchi kadogo kametuzidi). Leo huyu Msukuma anapambana..ndo kejeli zinazidi.

Again, mimi sipo kuangalia merit za kununua hizo ndege. kuna watu wanalipwa kodi zetu kulisemea hilo!

Lakini maadam zimenunuliwa, hatuna budi kuzi-support as long as ni kwa faida ya taifa letu.

Masanja
 
Nilisafiri na Fast Jet to Lusaka na route ilikuwa ni Dar-Lusaka-Harare-Dar..

On my way back, pale Harare ndege ilishusha abiria wachache sana na walio board in hawakuzidi abiria 10..

Nilisikia Fast Jet walikuwa wana mpango wa kuiondoa Harare kwenye hii route (sijui kama ipo bado.)

Sijajua ATCL kwanini wanaenda Harare badala ya Lusaka ambapo kuna abiria wengi zaidi..

Wafanyabiashara wengi Wazambia wana trade via Dar Port nk nk.

Anyway labda kuna mabadiliko kwenye biashara na Harare now is a more profitable route.

What about Lubumbashi?
 
Utajuaje kwamba unaweza kushindana kama usipoingia kwenye mashindano?
I know status ya ATCL so far wameanza kuwa stable kwenye domestic route,next step ni kuanza international route kama Zimbabwe,China & India kabla ya kukimbilia route kama SA,Dubai
 
Suluhisho liwe nn boss. Tusaidie
Tuanze na hizi route Zimbabwe,China,India zina abiria wengi na hakuna ushindani mkubwa na giants airlines.Tukishakuwa stable then tuangalie kwenda hizo route
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…