Brother,
Be positive kidogo. Hata hiyo KQ inakwenda Malawi, Zimbabwe, Harare nk. Why not ATCL our own? Mbona FastJet anakwenda Harare sijaona malalamiko? Yes, Morocco et all, are potential destinations, Lakini lazima twende kwa hatua.
Folks tufike sehemu tukubali na tutofautishe kati ya Magufuli na Tanzania! Tanzania ni nchi yetu, si vema kila siku kusimanga kila kinachofanywa na JPM. JPM in few years will be a history. But TZ will always be there. tupo au hatupo!
Aviation ni industry ngumu. Lets be proud na hii hatua. Humu humu JF Tz ilisimangwa sana kwamba haina hata ndege moja na always tukilinganishwa na Rwanda (kanchi kadogo kametuzidi). Leo huyu Msukuma anapambana..ndo kejeli zinazidi.
Again, mimi sipo kuangalia merit za kununua hizo ndege. kuna watu wanalipwa kodi zetu kulisemea hilo!
Lakini maadam zimenunuliwa, hatuna budi kuzi-support as long as ni kwa faida ya taifa letu.
Masanja