Youre a dumb one, zimbabwe has more tourist than Tz, huoni hata huyo mzungu anasema a great link btn Victoria falls and zanzibar, victoria fall attract most tourist in zimbabwe, just like zanzibar in tz
Brother,
Be positive kidogo. Hata hiyo KQ inakwenda Malawi, Zimbabwe, Harare nk. Why not ATCL our own? Mbona FastJet anakwenda Harare sijaona malalamiko? Yes, Morocco et all, are potential destinations, Lakini lazima twende kwa hatua.
Folks tufike sehemu tukubali na tutofautishe kati ya Magufuli na Tanzania! Tanzania ni nchi yetu, si vema kila siku kusimanga kila kinachofanywa na JPM. JPM in few years will be a history. But TZ will always be there. tupo au hatupo!
Aviation ni industry ngumu. Lets be proud na hii hatua. Humu humu JF Tz ilisimangwa sana kwamba haina hata ndege moja na always tukilinganishwa na Rwanda (kanchi kadogo kametuzidi). Leo huyu Msukuma anapambana..ndo kejeli zinazidi.
Again, mimi sipo kuangalia merit za kununua hizo ndege. kuna watu wanalipwa kodi zetu kulisemea hilo!
Lakini maadam zimenunuliwa, hatuna budi kuzi-support as long as ni kwa faida ya taifa letu.
Masanja
MKuu unafikiri wanakurupuka tu kuanzisha biashara kwa kujisikia? kuna kampuni zina kazi ya kuchunguza route zenye wateja umasikini wa zimbabwe unazuia watalii kwenda kuona victoria falls?An awful way to start business, who is going to Zimbabwe? What about negotiating with the SA government to land there instead of a poor country like Zimbabwe? That's why most of us are willing to go and fly from Kenya. We are in good terms ( bilaterally ) with most powerful countries in Africa like Morocco, South Africa and Kenya but we choose to do business with poor folks. This whole Air Tanzania thing is going to eat us alive.
Watanzania? akili zao? hivi wewe unastatistic zozote kuhusu safari za nje ya nchi? kwamba wewe unaeishi nanjilinji unajua ni sehemu gani kuna wasafiri wengi kuliko waliopo airport pale!!!? anyway kazi ya upinzani ni kupinga.An awful way to start business, who is going to Zimbabwe? What about negotiating with the SA government to land there instead of a poor country like Zimbabwe? That's why most of us are willing to go and fly from Kenya. We are in good terms ( bilaterally ) with most powerful countries in Africa like Morocco, South Africa and Kenya but we choose to do business with poor folks. This whole Air Tanzania thing is going to eat us alive.
Facts kabisa mkuuYoure a dumb one, zimbabwe has more tourist than Tz, huoni hata huyo mzungu anasema a great link btn Victoria falls and zanzibar, victoria fall attract most tourist in zimbabwe, just like zanzibar in tz
Kumbe Kenya mkuu?Sasa Zanzibar ni Tanzania??
An awful way to start business, who is going to Zimbabwe? What about negotiating with the SA government to land there instead of a poor country like Zimbabwe? That's why most of us are willing to go and fly from Kenya. We are in good terms ( bilaterally ) with most powerful countries in Africa like Morocco, South Africa and Kenya but we choose to do business with poor folks. This whole Air Tanzania thing is going to eat us alive.
kote kuna ushindani, labda uniambie akomae hapa nchini tu lakini napo viwanja vetu ni duni na runways ni fupi mno....Zimbabwe baada ya kuondoka Mugabe imeanza kuwavutia wawekezaji & wataliii ni route nzuri .Tatizo kubwa route ya SA ushindani ni mkubwa sana mashirika kama SA na ET tayari wame-dominate hiyo route
Youre a dumb one, zimbabwe has more tourist than Tz, huoni hata huyo mzungu anasema a great link btn Victoria falls and zanzibar, victoria fall attract most tourist in zimbabwe, just like zanzibar in tz
Why Zimbabwe of all places?
Kuna wale wanakwambia kwanini fedha za kununulia ndege zisiende kukamilisha miradi ya maji.
Habari ya uzi huu hawawezi kuipenda. Wanachosahau ni kwamba dunia inapozidi kuwa karibu na Tanzania ndivyo hata hiyo miradi ya maji inavyowekwa karibu na wenye kuweza kuifanikisha.
No man is an ireland, huu ni msemo mkongwe katika lugha ya kingereza. Hakuna awezaye kuishi kama kisiwa.
Th last time we negotiate with SA airways. ATCL died and they took one airplane with them that belongs to ATCL. that is a no goAn awful way to start business, who is going to Zimbabwe? What about negotiating with the SA government to land there instead of a poor country like Zimbabwe? That's why most of us are willing to go and fly from Kenya. We are in good terms ( bilaterally ) with most powerful countries in Africa like Morocco, South Africa and Kenya but we choose to do business with poor folks. This whole Air Tanzania thing is going to eat us alive.
Habari hii Ni mbaya Sana kule UfipaZimbabwe Open skies continue to attract airlines. @AirTanzania #ATCL has scheduled 1JUL18 for thrice weekly flights from Dar es Salaam to Harare using a #CS300 on Wed,Frid and Sun.
Mkuu achana na hao wenye wivu wa kijingaBrother,
Be positive kidogo. Hata hiyo KQ inakwenda Malawi, Zimbabwe, Harare nk. Why not ATCL our own? Mbona FastJet anakwenda Harare sijaona malalamiko? Yes, Morocco et all, are potential destinations, Lakini lazima twende kwa hatua.
Folks tufike sehemu tukubali na tutofautishe kati ya Magufuli na Tanzania! Tanzania ni nchi yetu, si vema kila siku kusimanga kila kinachofanywa na JPM. JPM in few years will be a history. But TZ will always be there. tupo au hatupo!
Aviation ni industry ngumu. Lets be proud na hii hatua. Humu humu JF Tz ilisimangwa sana kwamba haina hata ndege moja na always tukilinganishwa na Rwanda (kanchi kadogo kametuzidi). Leo huyu Msukuma anapambana..ndo kejeli zinazidi.
Again, mimi sipo kuangalia merit za kununua hizo ndege. kuna watu wanalipwa kodi zetu kulisemea hilo!
Lakini maadam zimenunuliwa, hatuna budi kuzi-support as long as ni kwa faida ya taifa letu.
Masanja
sanaHabari hii Ni mbaya Sana kule Ufipa
Hakika , sifa kwa JPMMwanzo mzuri.