Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
umesoma vizuri hiyo habari? Zimbabwe ile wakati ulipokwenda kwa mumeo, siyo Zimbabwe ya leo.Nilisafiri na Fast Jet to Lusaka na route ilikuwa ni Dar-Lusaka-Harare-Dar..
On my way back, pale Harare ndege ilishusha abiria wachache sana na walio board in hawakuzidi abiria 10..
Nilisikia Fast Jet walikuwa wana mpango wa kuiondoa Harare kwenye hii route (sijui kama ipo bado.)
Sijajua ATCL kwanini wanaenda Harare badala ya Lusaka ambapo kuna abiria wengi zaidi..
Wafanyabiashara wengi Wazambia wana trade via Dar Port nk nk.
Anyway labda kuna mabadiliko kwenye biashara na Harare now is a more profitable route.
What about Lubumbashi?
Achana na hao vidole juu, hawana hoja tena.Suluhisho liwe nn boss. Tusaidie
Mimi sio mpinzani, huwezi kuwa mtu huru tu ukawa na maoni? Sijasema waruke bara pia, kama kiingereza ni shida sema upewe tafsiri. Nimesema kwanini kusiwe na route ya South Africa? ni likely kua watu ni wengi safari za sa kuliko ZimbabweWatanzania? akili zao? hivi wewe unastatistic zozote kuhusu safari za nje ya nchi? kwamba wewe unaeishi nanjilinji unajua ni sehemu gani kuna wasafiri wengi kuliko waliopo airport pale!!!? anyway kazi ya upinzani ni kupinga.
Halafu aliyekwambia kila ndege inaweza kutoka tz mpaka marekani ni nani? cs300 sidhani inauwezo wa kuruka bara hadi bara hata uwezo wake wa kunywa mafuta sidhani unaruhusu.
but naamini umeifanya kazi yako vyema(kupinga) nenda ufipa ukapewe beji ya ukamanda.
Done its homework? They keep failing with each president because of incompetence and stupidity. Sakiti ya utalii inasema hakuna direct flight kutoka mbele kuja tz ila SA ndo destination, sasa wakitoka Sa wanafikia Kenya au Zimbabwe why not nibbling them from SA?😛😛😛, my friend try to research a little bit on tourists' circuits. You may come up with an idea regarding why Zimbabwe and not SA? In fact I have seen SA and Zambia in their planned routes. Poor folks? Are the Zimbabweans being targeted by ATCL? Then even Kenya is a wrong destination, they are poor folks. ATCL has done its homework unlike you poor guy.
Ni kweli mkuu. Nataarifiwa hapa ndege ya SA "Mango" hutua mara kadhaa kwa wk Zanzibar kuleta watalii na kurudi SA. Jambo hili tunamtwika Dkt. Bashiru aanze naloDone its homework? They keep failing with each president because of incompetence and stupidity. Sakiti ya utalii inasema hakuna direct flight kutoka mbele kuja tz ila SA ndo destination, sasa wakitoka Sa wanafikia Kenya au Zimbabwe why not nibbling them from SA?
Uwe mpinzani usiwe, nijue kiingeleza nisijue but hutua bora kabla ya pingapinga za hovyo namna hii ungeenda kwanza airport pale ukauliza kwa takwimu ni watu wangapi wako kwenye route ya Zimbabwe na s.a na je kuna ndege ngapi kwenye route ya s.a na ndege ngapi route ya Zimbabwe? na mengine kama cost na expected return ukishajua hizo mambo zen ungetoa mawazo mazuri lkn hii unalala ukiamka unauliza kuna nini? ukiwambiwa ndege inakwenda Zimbabwe unajiandikia isingeenda zimbabwe ingeenda s.a wajinga hao, huo ni ufipa orginal a.k.a kazi ya kupinga.Mimi sio mpinzani, huwezi kuwa mtu huru tu ukawa na maoni? Sijasema waruke bara pia, kama kiingereza ni shida sema upewe tafsiri. Nimesema kwanini kusiwe na route ya South Africa? ni likely kua watu ni wengi safari za sa kuliko Zimbabwe
Sasa wewe na ufipa mna tofauti gani? Nani kakuambia sija-research? Usibadilishe mjadala kuufanya personal. Mimi ninataka mazuri kwa Air Tanzania sio mambo nusu nusu kama wanavyofanya sasa hivi. Kila awamu kampuni inafeli kwasababu ya mawazo ya kijinga. Wewe unatetea waende Zimbabwe unajua wanaotoka Zimbabwe kuja bongo kabla ya Zimbabwe walikua wapi? Walikua Sauzi sasa kwanini tusiwachukue kutoka sauzi moja kwa moja mpaka tusubiri wafike Zimbabwe? Plus, sauzi imeendelea kiviwanda maana yake tutapata wafanyabiashara wengi wakusafiri sauzi kuja bongo na bongo kwenda sauzi tofauti na kutegemea watalii wa Victoria falls peke yake. Tumia akili unapojenga hoja, usiwe uadhihaki watu tu, mimi naipenda Tanzania na naitakia mema Air TanzaniaUwe mpinzani usiwe, nijue kiingeleza nisijue but hutua bora kabla ya pingapinga za hovyo namna hii ungeenda kwanza airport pale ukauliza kwa takwimu ni watu wangapi wako kwenye route ya Zimbabwe na s.a na je kuna ndege ngapi kwenye route ya s.a na ndege ngapi route ya Zimbabwe? na mengine kama cost na expected return ukishajua hizo mambo zen ungetoa mawazo mazuri lkn hii unalala ukiamka unauliza kuna nini? ukiwambiwa ndege inakwenda Zimbabwe unajiandikia isingeenda zimbabwe ingeenda s.a wajinga hao, huo ni ufipa orginal a.k.a kazi ya kupinga.
Mimi naona mnabishana bure tu ndege zinazotarajiwa kuja cs300 in kama tatu.fastjet walikuwa na ndege tatu tu waliweza kuoperate ruti karibia sita, harare,s.a,mbeya,mwanza,Lusaka na walitaka kwenda Nairobi. Sembuse atz ambayo itakuwa na jet tatu ambazo zinaweza tembea s.a harare.China . India. Tuwape muda inawezekana kibali cha kutua south bado hakijapatikana navokumbuka kadri Sikh zinavyozidi kwenda ndio wanazid kutangaza route mpya. Nakumbuka hata walivyotangaza route ya India watu walipinga sana in muda tuu. Ukitaka fanikiwa jaribu wenzako waliposhindwaSasa wewe na ufipa mna tofauti gani? Nani kakuambia sija-research? Usibadilishe mjadala kuufanya personal. Mimi ninataka mazuri kwa Air Tanzania sio mambo nusu nusu kama wanavyofanya sasa hivi. Kila awamu kampuni inafeli kwasababu ya mawazo ya kijinga. Wewe unatetea waende Zimbabwe unajua wanaotoka Zimbabwe kuja bongo kabla ya Zimbabwe walikua wapi? Walikua Sauzi sasa kwanini tusiwachukue kutoka sauzi moja kwa moja mpaka tusubiri wafike Zimbabwe? Plus, sauzi imeendelea kiviwanda maana yake tutapata wafanyabiashara wengi wakusafiri sauzi kuja bongo na bongo kwenda sauzi tofauti na kutegemea watalii wa Victoria falls peke yake. Tumia akili unapojenga hoja, usiwe uadhihaki watu tu, mimi naipenda Tanzania na naitakia mema Air Tanzania
Shemeji kumbe Mzimbabwe?umesoma vizuri hiyo habari? Zimbabwe ile wakati ulipokwenda kwa mumeo, siyo Zimbabwe ya leo.
Hahahah wanahaha kwenda Zimbabwe??? Hahahah Zimbabwe??? Itaenda bombardier au Dreamliner?Bavicha wanahara huko.
Matunda ya SADC hayoHahahah wanahaha kwenda Zimbabwe??? Hahahah Zimbabwe??? Itaenda bombardier au Dreamliner?
Shime watanzania twenzetuni Zimbabwe tukawahi fursa
Na sasa dola 100 unapewa 180 zimdollar mambo ya kubeba hela kwenye torori unanunua mkate hakunaMatunda ya SADC hayo