Naongea ninachokijua kiongozi, sikurupuki!
Si vibaya mtu kama wewe kuwa na Imani na makampuni kuwa wanakupa kilekile na kwamba wako fair kwenye kukuacha utumie data zako bila kukufanyia uhuni, but unfortunately this is not the case!, who feels it knows it well!
Nilikuwa nimebakiwa na 500MB, na within few minutes wananiambia 0MB wakati sidownload kitu chochote hata kwenye background hakuna updates zozote zinazorun, how dare they?, Na hii kitu imekuwa ikitokea frequently nowadays, haikuwa hivyo kwa Airtel kabla ya sakata la bei za vifurushi
Haiwezrkani let say Zamani ulikuwa unaweka GB 1 inakutosha Siku moja na nusu halafu leo hii unaweka GB 1 inakaa nusu siku tu na huku huna Matumizi ya Ziada kuliko zamani!
Kuregulate access ya bandwidth wala siyo kitu ambacho makampuni ya simu yanashindwa, yanaweza kwa mfano kupitia kwenye system kuset mtu atumie 75% ya given bandwidth then baada ya hapo data yake kwenye system ijiset to 0. Sasa ukiwa layman wewe unanunua data tu, wala hufuatilii, wewe unaweka tu mavifurushi bila kuangalia salio kumbe unapigwa 25% ya data yako.