Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Aisee kumbe kweli, kuna namna. Asubuhi ya leo nimenunua bando ya siku just 500MB. Aisee, hazukumaliza hata nusu saa. Na apps zangu zote nimezifunga hakuna ku update bila ruhusa. Browsers zote nimezipiga adblock za maana!!! Nimeshtuka hiyo asubuhi ila nikapotezea... Sasa, Mkuu, unestua tena! Wajiangalie.Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa. Ni aibu!
Wezi aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽Weziiii jamani weziii ndo elfu 20 inakata ndani ya masaa 24 hapana kwakweli nahamisha watu wangu wote. Tena ngoja nishare kwenye group mle tumo watu 200 na magroup mengine. Bora tuibiwe kidogo ila sio kwa style hii. Nimeibiwa jamani hapana🙌🏽 Elfu 20🙌🏽Hakuna mtandao usioiba, endelea na eatel wapo vizuri network 😀
Mi sinyamazagi kwakweli. Nitahakikisha naondoka na wateja wao wa kutosha tu🙌🏽 Hawawezi kuniona mjinga kiasi hiki. Eti nitumie gb12 kwa kitu gani situmii netflix wala nini yani siangalii movie. Nimeibiwa sana jamani sio utu huuAisee kumbe kweli, kuna namna. Asubuhi ya leo nimenunua bando ya siku just 500MB. Aisee, hazukumaliza hata nusu saa. Na apps zangu zote nimezifunga hakuna ku update bila ruhusa. Browsers zote nimezipiga adblock za maana!!! Nimeshtuka hiyo asubuhi ila nikapotezea... Sasa, Mkuu, unestua tena! Wajiangalie.
Duh, mimi niliunga kifurushi cha mwezi halhamisi iliyopita bado naendelea nacho, na nimedownload epsodes 7 za slave hunter nishachek youtube mara kadhaaWezi aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽Weziiii jamani weziii ndo elfu 20 inakata ndani ya masaa 24 hapana kwakweli nahamisha watu wangu wote. Tena ngoja nishare kwenye group mle tumo watu 200 na magroup mengine. Bora tuibiwe kidogo ila sio kwa style hii. Nimeibiwa jamani hapana🙌🏽 Elfu 20🙌🏽
Hee jamani moyo unauma🙌🏽Duh, mimi niliunga kifurushi cha mwezi halhamisi iliyopita bado naendelea nacho, na nimedownload epsodes 7 za slave hunter nishachek youtube mara kadhaa
Hakuna mtandao usioiba, endelea na eatel wapo vizuri network [emoji3]
Network ya voda ni weak sana huku Gezaulole so siwezi hama eatel naipenda sana.Njoo voda ule maisha..
Ndo matumizi yawe gb 22 kwa siku???? Kwa kutumia simu tuHivi ni aina ya simu unayotumia au ni nini kinasababisha hivyo?
Mbona mi huwa najiunga bando la mwezi haya mambo siyaoni, kuibiwa kuibiwa au tunatofautiana matumizi
Kuna wakati unaandika umeibiwa 22gb na kuna wakati unaandika 12gb. Ni ipi sahihi?Ndo matumizi yawe gb 22 kwa siku???? Kwa kutumia simu tu
Hakuna mtandao usioiba, endelea na eatel wapo vizuri network [emoji3]
Wapigie uwaelezee mara moja wata shughulikiaAirtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa. Ni aibu!
Elewa kwamba wameiba gb zangu za mwezi. Figure haisaidii swala ni kwamba nimeibiwaKuna wakati unaandika umeibiwa 22gb na kuna wakati unaandika 12gb. Ni ipi sahihi?
Kuna siku waliniibia Gb zangu yani niliunga gb za wiki line nikaweka kwenye kitorch nairudisha kwenye router gb zimekwisha nawapigia maelezo hayaelewek na ilitokea mfululizo na jana yake walikuwa wamenifanyia hivyo hivyo, nilivunja line hapo hapo nakuhamia airtel japo nilikuwa nimeitumia halotel kwa muda mrefu.Halotel wapo vizuri.
Matumizi ya GB zako unayaona kabisaaa.
Hujui usemalo. Airtel ndio mtandao wenye kasi mbovu kabisa ya Internet. Labda uongelee huduma nyingine.Hakuna mtandao usioiba, endelea na eatel wapo vizuri network [emoji3]
Mitandao yote Ina kasi ndogo kama hujui nakujulisha sasaHujui usemalo. Airtel ndio mtandao wenye kasi mbovu kabisa ya Internet. Labda uongelee huduma nyingine.