Airtel acheni wizi

Airtel acheni wizi

Ms Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
2,452
Reaction score
4,955
Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli.

Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa.

Ni aibu!
 
Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa. Ni aibu!
Aisee kumbe kweli, kuna namna. Asubuhi ya leo nimenunua bando ya siku just 500MB. Aisee, hazukumaliza hata nusu saa. Na apps zangu zote nimezifunga hakuna ku update bila ruhusa. Browsers zote nimezipiga adblock za maana!!! Nimeshtuka hiyo asubuhi ila nikapotezea... Sasa, Mkuu, unestua tena! Wajiangalie.
 
Hakuna mtandao usioiba, endelea na eatel wapo vizuri network 😀
Wezi aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽Weziiii jamani weziii ndo elfu 20 inakata ndani ya masaa 24 hapana kwakweli nahamisha watu wangu wote. Tena ngoja nishare kwenye group mle tumo watu 200 na magroup mengine. Bora tuibiwe kidogo ila sio kwa style hii. Nimeibiwa jamani hapana🙌🏽 Elfu 20🙌🏽
 
Aisee kumbe kweli, kuna namna. Asubuhi ya leo nimenunua bando ya siku just 500MB. Aisee, hazukumaliza hata nusu saa. Na apps zangu zote nimezifunga hakuna ku update bila ruhusa. Browsers zote nimezipiga adblock za maana!!! Nimeshtuka hiyo asubuhi ila nikapotezea... Sasa, Mkuu, unestua tena! Wajiangalie.
Mi sinyamazagi kwakweli. Nitahakikisha naondoka na wateja wao wa kutosha tu🙌🏽 Hawawezi kuniona mjinga kiasi hiki. Eti nitumie gb12 kwa kitu gani situmii netflix wala nini yani siangalii movie. Nimeibiwa sana jamani sio utu huu
 
Wezi aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽Weziiii jamani weziii ndo elfu 20 inakata ndani ya masaa 24 hapana kwakweli nahamisha watu wangu wote. Tena ngoja nishare kwenye group mle tumo watu 200 na magroup mengine. Bora tuibiwe kidogo ila sio kwa style hii. Nimeibiwa jamani hapana🙌🏽 Elfu 20🙌🏽
Duh, mimi niliunga kifurushi cha mwezi halhamisi iliyopita bado naendelea nacho, na nimedownload epsodes 7 za slave hunter nishachek youtube mara kadhaa
 
Hee jamani moyo unauma🙌🏽
 
Hivi ni aina ya simu unayotumia au ni nini kinasababisha hivyo?

Mbona mi huwa najiunga bando la mwezi haya mambo siyaoni, kuibiwa kuibiwa au tunatofautiana matumizi
 
Ndo matumizi yawe gb 22 kwa siku???? Kwa kutumia simu tu
 
Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa. Ni aibu!
Wapigie uwaelezee mara moja wata shughulikia
 
Halotel wapo vizuri.
Matumizi ya GB zako unayaona kabisaaa.
Kuna siku waliniibia Gb zangu yani niliunga gb za wiki line nikaweka kwenye kitorch nairudisha kwenye router gb zimekwisha nawapigia maelezo hayaelewek na ilitokea mfululizo na jana yake walikuwa wamenifanyia hivyo hivyo, nilivunja line hapo hapo nakuhamia airtel japo nilikuwa nimeitumia halotel kwa muda mrefu.
 
Duhh!! Wakati sisi wa Tigo tukigugumia moyoni kumbe na huko mambo sio. Lol.

Sasa sijui nafuu iko wapi mana mwisho wa siku ndo mwanzo wa kuwa na line nyingi za simu ilimradi tu kupata unafuu wa mabando.
 
Back
Top Bottom