Airtel jirekebisheni kwenye eneo hili . Mnaudhi

Airtel jirekebisheni kwenye eneo hili . Mnaudhi

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,508
Reaction score
5,981
Jamani, watumiaji wa Internet, naombeni mnijuze kampuni inayojitahidi.

Airtel na modem zao sasa ni kichefuchefu.

Hela unalipa, lakini huduma yao mbovu.

Customer care yao, wana majibu ya ovyo yaani utadhani mtu anaomba msaada hajalipia.
 
Hao customer care walishawah kunipelekea mpaka wakafunga line yang ambayo nilkuwa naipenda sana,afu walivyoifunga haikuweza funguliwa tena nilienda kwenye maduka yao lakin nikawa nazungushwa tu,sjui alieifungia aliandika nn,

Maana walikuwa wananipokea vzur tu lakin ukimpa namba aangalie unaona anasema haiwezekan
 
Mi niliwakopa halafu nikawahama baada ya kunipiga hela yangu kijingajinga!
 
Airtel ni baba lao kwa huku niliko.wasiwasi wenu tu.
 
Internet supplier wamejaa, unahama tu, gharama yenyewe ya kujiunga 30,000/- wanasahau kwamba biashara ya internet sasa hivi ni kama Bure!!!!????
 
Hao customer care walishawah kunipelekea mpaka wakafunga line yang ambayo nilkuwa naipenda sana,afu walivyoifunga haikuweza funguliwa tena nilienda kwenye maduka yao lakin nikawa nazungushwa tu,sjui alieifungia aliandika nn,

Maana walikuwa wananipokea vzur tu lakin ukimpa namba aangalie unaona anasema haiwezekan
Ulikunya sebleni...
 
Back
Top Bottom