Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Kiukweli hata mi nilizonazo natamani nipate mtejaNdio maana kwa sasa wifi rooter zao watu wanaziuza sana
Watu hawazitakiKiukweli hata mi nilizonazo natamani nipate mteja
Ulikunya sebleni...Hao customer care walishawah kunipelekea mpaka wakafunga line yang ambayo nilkuwa naipenda sana,afu walivyoifunga haikuweza funguliwa tena nilienda kwenye maduka yao lakin nikawa nazungushwa tu,sjui alieifungia aliandika nn,
Maana walikuwa wananipokea vzur tu lakin ukimpa namba aangalie unaona anasema haiwezekan