Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’

Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili?

@airteltanzania
Eti "Processing time exceeded" Unarudia kutuma tena kwa speed ya 4G lakini mwishoni tena "Processing time exceeded" then unakuwa frustrated mnzyuuuuuu.
 
‘processing time exceeded’ ndio majibu ya sasa hivi. Shida nini Airtel? Mnakwamisha uchumi wa nchi kwa makusudi kabisa..!
 
Halafu eti unanirudishia shilingi tano..kwelii?
 
Poleni sana, system karibia zote, mwisho wa mwaka kunakuaga na maboresho...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…