Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per second lakn leo ghafla asubuhi imeshuka had 1mb per second na haitaki kupanda.
Yaani natumia speed ya kobe na mtumiaji ni mimi pekee yangu nimeunganisha device mbili pc na simu tu, kwanini airtel hawataki kutuambia ukweli kwamba hizi router siyo unlimited badala yake ikifkia ukomo wa mb walizokupangia huwa wanashusha speed kusema ukweli huu ni utapeli😔