Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

Case kama hizi kwenye fiber sijazisikia.

Ila kama fiber labda hizi Zuku lakini haya makampuni ya simu yana usumbufu mwingi.
Vipi fiber ya zuku huwa wanatoa access ya admin interaction au nao ndo kama ttcl mpka uwapigie wakubadilishie baadhi ya mipangilio na reset?
 
Mkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.

View attachment 3184334

Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.

View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Kama nilivyotangulia kusema awali kabla ya leo asubuhi speed ilikuwa normal kama inavyotakiwa ila mambo yamebadilikuwa ghafla na hii ishi nishawahi kuisikiaga b4, ila leo ndo nimeshuhudia mwenyew
 
Attachments

  • IMG-20241216-WA0003.jpg
    IMG-20241216-WA0003.jpg
    50.6 KB · Views: 10
  • IMG-20241216-WA0003.jpg
    IMG-20241216-WA0003.jpg
    50.6 KB · Views: 9
Kama nilivyotangulia kusema awali kabla ya leo asubuhi speed ilikuwa normal kama inavyotakiwa ila mambo yamebadilikuwa ghafla na hii ishi nishawahi kuisikiaga b4, ila leo ndo nimeshuhudia mwenyew
Hadi sasa umetumia GB ngapi? Kuna mtu alituonesha katumua 1TB na speed ipo sawa.

Mimi sidownload movies na situmii NF so last month niliishia 350 GB
 
Hadi sasa umetumia GB ngapi? Kuna mtu alituonesha katumua 1TB na speed ipo sawa.

Mimi sidownload movies na situmii NF so last month niliishia 350 GB
350GB ni fair kusema speed ipo sawa
 
350GB ni fair kusema speed ipo sawa
Yeah mfano nimeanza tar 23 ndio circle yangu inaanza, hadi sasa nina 22 GB.

IMG_1063.png

Nilijaribu kutoa password kwenye 2.4Ghz majirani wa enjoy walipoa za kujiunga zaidi ya device 4 nikaanza ona mzigo hauendi kabisa.
 
Tumewaambia mara ngapi? Mtandao ni voda tu, lipia 120k utaacha hizo kelele
 
Ni kweli, gharama ni kubwa sema sisi wengine ni kwa ajiri ya kazi hivyo ni affordable, maana hiyo hela inarudi siku moja au mbili. Ila kwa matumizi ya kawaida ni msala!
Na kingine kinachoboa kwa voda ni ile ya kusema sijui unalipia miezi mitatu kwanza.

Halafu uki skip mwezi bila kulipia basi siku utayoamua kulipia hela yako itaenda kufidia ule mwezi ambao hukulipia.

Hizo ndio mbanga ambazo sizielewi.
 
Mimi niliinunua 3 months ago,inafanya vizuri tu.
TV,smartphones 4!
 
Kwan ukirestore inakaa vzuri, mimi nina router mbili x28 na x25 lakin zote nikiweka lain still speed haipandi

Ndio inakaa vizuri.. unaenda kwenye restore factory setting kwa watumiaji wa Airtel sijajua kampuni zingine

Screenshot_20241225-013803.png
 
Back
Top Bottom