Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
- Thread starter
-
- #21
Vipi fiber ya zuku huwa wanatoa access ya admin interaction au nao ndo kama ttcl mpka uwapigie wakubadilishie baadhi ya mipangilio na reset?Case kama hizi kwenye fiber sijazisikia.
Ila kama fiber labda hizi Zuku lakini haya makampuni ya simu yana usumbufu mwingi.
Kulalamika muhimu bro sababu kuna watu wengine wanapata mwanga kuhusu huu uchafu tunaofanyiwaAcha kulalamika mitandao ya simu sahiz no kama ndoa za mitala
Monthly usage yako ikoje mkuu?Mkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.
View attachment 3184334
Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.
View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Kama nilivyotangulia kusema awali kabla ya leo asubuhi speed ilikuwa normal kama inavyotakiwa ila mambo yamebadilikuwa ghafla na hii ishi nishawahi kuisikiaga b4, ila leo ndo nimeshuhudia mwenyewMkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.
View attachment 3184334
Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.
View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Wenye mamlaka wenyew wanapiga humohumo, nani atakupazia sauti?Lakini yote hayo hatuna wa kutupazia sauti
Hadi sasa umetumia GB ngapi? Kuna mtu alituonesha katumua 1TB na speed ipo sawa.Kama nilivyotangulia kusema awali kabla ya leo asubuhi speed ilikuwa normal kama inavyotakiwa ila mambo yamebadilikuwa ghafla na hii ishi nishawahi kuisikiaga b4, ila leo ndo nimeshuhudia mwenyew
Weka usage yakoMkuu, unapokaa pana issue ya speed sio Airtel aisee.
View attachment 3184334
Mimi Airtel imekua mkombozi sana aisee. Mwezi wa 4 tokea ninunue na sijawahi kujuta.
View attachment 3184335
Kwa sasa nimeunga device 3, TV simu na Laptoona zote zinapiga mzigo.
View attachment 3184336
Youtube nipo FHD na 4K mara chache ndio inaganda ganda.
View attachment 3184337
Nimejiunga cha 70k so 10mbps
Mm nmetumia gb440 ndan ya siku 9Hadi sasa umetumia GB ngapi? Kuna mtu alituonesha katumua 1TB na speed ipo sawa.
Mimi sidownload movies na situmii NF so last month niliishia 350 GB
350GB ni fair kusema speed ipo sawaHadi sasa umetumia GB ngapi? Kuna mtu alituonesha katumua 1TB na speed ipo sawa.
Mimi sidownload movies na situmii NF so last month niliishia 350 GB
Average yake hazid gb 350 per month, wakat sis wengne ndan ya wiki tu tayar tushafikisha gb300+Weka usage yako
Yeah mfano nimeanza tar 23 ndio circle yangu inaanza, hadi sasa nina 22 GB.350GB ni fair kusema speed ipo sawa
Sema hiyo mitandao mingne ni gharama sana siyo rafiki wa maisha ya mtanzania halisiTumewaambia mara ngapi? Mtandao ni voda tu, lipia 120k utaacha hizo kelele
Bora mkuu niamie zangu fiber, hizi router smart box za mitandao ya simu sizitaki tenaTumewaambia mara ngapi? Mtandao ni voda tu, lipia 120k utaacha hizo kelele
Sema hiyo mitandao mingne ni gharama sana siyo rafiki wa maisha ya mtanzania halisi
Na kingine kinachoboa kwa voda ni ile ya kusema sijui unalipia miezi mitatu kwanza.Ni kweli, gharama ni kubwa sema sisi wengine ni kwa ajiri ya kazi hivyo ni affordable, maana hiyo hela inarudi siku moja au mbili. Ila kwa matumizi ya kawaida ni msala!
Kwan ukirestore inakaa vzuri, mimi nina router mbili x28 na x25 lakin zote nikiweka lain still speed haipandiMuwe mna restore
Kwan ukirestore inakaa vzuri, mimi nina router mbili x28 na x25 lakin zote nikiweka lain still speed haipandi