Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

Na kingine kinachoboa kwa voda ni ile ya kusema sijui unalipia miezi mitatu kwanza.

Halafu uki skip mwezi bila kulipia basi siku utayoamua kulipia hela yako itaenda kufidia ule mwezi ambao hukulipia.

Hizo ndio mbanga ambazo sizielewi.

Nilijua voda ni miezi 12, kumbe miezi 3 au wamepunguza? Vipi kuhusu Tigo?
 
Ndio inakaa vizuri.. unaenda kwenye restore factory setting kwa watumiaji wa Airtel sijajua kampuni zingine

View attachment 3184375
Ishu yake huyo sio corruption settings. Huyo kakutana na throttling kutoka kwa isp.

Hiyo hainaga suluhu ni mpaka u-upgrade plan au usikilizie kiishe uje kuunga kingine.
 
Huo ndio umazafaka ambao siutaki kuusikia.

Maswala ya kuniuzia godoro halafu unaninyima usingizi huo ni wizi.
Kuomba tu huduma ya starlink iweze kufika kwa wakati tuwakimbie hawa wezi wa hela zetu
 
Hakuna utapeli, Kwenye unlimited internet kuna kipengere kInaitwa Fair Usage Policy, ukivuka kiasi flani cha matumizi speed inashushwa, Sio Tanzania pekee ni mpaka kampuni kubwa duniani kama Starlink.

Kibiashara inatumika kubana wapiga dili wanaouzia watu wengine
 
Wengi wetu hatujastukia hilo.

Star link pia ana shusha speed baada ya kufikia matumizi fulani, nimesahau kidogo ila makadirio 2.4TB ndani ya mwezi.

Pia tusisahau star link ni ghali mno kufananisha na makampuni tuliyozoea Tanzania.

Satellite internet ni mahsusi kwa aliyeko nnje ya mji.
 
Mbona wenye router za voda hawalalamikii hili suala la fair usage policy, kwao ni unlimited really kabisa
 
Sababu wenye mamlaka ni wanufaika wa hizo kero. Hapa mkombozi ni bwana Elon Musk tu!

Safaricom mpaka kesho wanalaani ujio wa StarLink Africa.
Ni bora starlink ije tu ili huu wizi utokomee kwa kiasi chake
 
Airtel are scammers Mimi na line haifanyi kazi now kama router kabisa
 
Halafu ukiwapigia simu wanasema tusharesolve suala lako, lakini kumbe ni hovyo tu
My number can't even buy a HBB bundle now
.they spammed me first nmelipa Hafu device ikawa haionekani

Airtel nlichoamua ni kukaa kimya nafikiria way forward hii nchi ukiwa na hela usipokua na hela lazima utateseka

Hii nchi ina laana
 
Nikweli,hamia kwenye mtandao wenye kasi, biashara ni ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…