Si bora hata usimpate iyo no yenyewe 100 unaweza piga na isiende kabisa yani isiite kabisaKweli mkuu,,,costumer care ya AIRTEL kwa ujumla ni mbovu sana,,
Hata hiyo no 100 unaweza ukapiga siku nzima na usimpate muhudumu wa kuongea nae..
Kwa kifupi kipengele cha kuongea na muhudumu kipo humo lakini utasumbuka sana.
Kwenye mb nilikoma kabisa yaani, mtandao konokono. Unanunua gb 2 hadi kifurushi kinaisha muda umetumia mb 200Hakuna jinsi mkuu,,
Hawa jamaa wa AIRTEL hawana mpangilio mzr kupata kuzungumza na muhudumu.
Hata vifurushi vyao pia huisha kabla 24 hours..
Utakuta ukiuliza salio la bandle linakwambiya una mb za kutosha,,lakini internet hupati kabisa kama Bandle limekwisha.
Wameshanijibu angalia comments za juu. Ila mimi inaniletea salio la kawaida sio la bando.Wakikujibu ni tag na mimi
Hainipi salio la bando, inaleta salio la kawaida*149*99#
n Next
10 Salio/ Matumizi bila bando
1 Salio
Nimepiga jana iyo namba haiendi kabisa ni bora hata ingeconnect nisikie ..bonyeza moja kwa kiswahili au bonya mbili kwa kingereza holaaaaa hakuna kitu SHWAIN kabisaKipindi cha nyuma wakati wanapatikan kwenye namba 100, nikipiga simu siku mbili, simu za kutosha yaani bila kumpata muhudu nikajitoa
Hata mimi ivo ivoWameshanijibu angalia comments za juu. Ila mimi inaniletea salio la kawaida sio la bando.
Labda line zetu ni tofauti na za kwaoHata mimi ivo ivo
Wanakulipa bei gani?Habari ndugu wateja, pole kwa changamoto.
Tumegundua wateja wengi wanaongea utumbo wakitupigia simu, hivyo sasa ukitaka kuongea na sisi lazima ujue lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Na kuonesha kuwa tupo siriasi na tunamaanisha katika hilo, tumewaandalia namba yenu maalum ili kuongea na sisi. Piga 101 kisha chagua 1>5>2>2.
Aliyeuliza kuhusu kuangalia salio la vifurushi piga *149*99*10*1#
Aliyeuliza kuhusu message kuchelewa kufika, ni kweli tulikuwa na hilo tatizo lakini mafundi wetu wameshashughulikia. Tulikuwa pia na tatizo la kulemaa kwa mtandao wiki iliyopita ambapo tatizo limeisha. Pia kulikuwa na tatizo la usikivu mbovu wa simu, yaani mtu anakuwa anasikika kama yupo kwenye chungu, nalo linaelekea kuisha kabisa.
Aliyeuliza kutopewa salio akinunua umeme, ndugu mteja unatutega? Ukiambiwa salio halitoshi manake utafute hela uweke! Ukitaka kujua salio tumia menu yetu ya airtel money. Kwani ukinunua umeme kupitia kupitia NMB huwa unapewa salio lililobaki kwenye akaunti yako?
NIMEJIBU KWA NIABA YA AIRTEL
Waambie hao wajinga hawaelewi mambo yanavyokwenda. Wanapenda kulalamika lalamika tu.Habari ndugu wateja, pole kwa changamoto.
Tumegundua wateja wengi wanaongea utumbo wakitupigia simu, hivyo sasa ukitaka kuongea na sisi lazima ujue lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Na kuonesha kuwa tupo siriasi na tunamaanisha katika hilo, tumewaandalia namba yenu maalum ili kuongea na sisi. Piga 101 kisha chagua 1>5>2>2.
Aliyeuliza kuhusu kuangalia salio la vifurushi piga *149*99*10*1#
Aliyeuliza kuhusu message kuchelewa kufika, ni kweli tulikuwa na hilo tatizo lakini mafundi wetu wameshashughulikia. Tulikuwa pia na tatizo la kulemaa kwa mtandao wiki iliyopita ambapo tatizo limeisha. Pia kulikuwa na tatizo la usikivu mbovu wa simu, yaani mtu anakuwa anasikika kama yupo kwenye chungu, nalo linaelekea kuisha kabisa.
Aliyeuliza kutopewa salio akinunua umeme, ndugu mteja unatutega? Ukiambiwa salio halitoshi manake utafute hela uweke! Ukitaka kujua salio tumia menu yetu ya airtel money. Kwani ukinunua umeme kupitia kupitia NMB huwa unapewa salio lililobaki kwenye akaunti yako?
NIMEJIBU KWA NIABA YA AIRTEL
Ipo mkuu chagua muhudumu data sio eartel moneyKweli mkuu, costumer care ya AIRTEL kwa ujumla ni mbovu sana
Hata hiyo no 100 unaweza ukapiga siku nzima na usimpate muhudumu wa kuongea nae.
Kwa kifupi kipengele cha kuongea na muhudumu kipo humo lakini utasumbuka sana.
Huo ni mtandao wa serikali ya kikoloni ndio maana wanaendekeza mambo ya kilofa lofa.Kuna wakati hawa jamaa siwaelewi kabisa yaani kwenye hii Airtel Money, ukinunua luku wanakuletea tu kuwa malipo yako yamefanyika bila kuleta balance ya akaunti yako baada ya muamala huo kufanyika. Ukitaka kufanya muamala kama salio halitoshi wanakutumia msg salio halitoshi bila kuonyesha salio lililopo.
Sasa ninataka kuongea na muhudumu kipengele cha kuongea na muhudumu kilichokuwa kinapatikana ndani ya namba 100 mmekiondoa kimya kimya bila kutupa taarifa wala njia mbadala, hata kwenye website yenu hamuonyeshi mabadiriko hayo.
Haya wadau napiga namba ngapi kuongea na muhudumu wa airtel kwa anayejua.
Awali nilikuwa nadhaniaga tu Ni Mimi peke yangu ndiye naye fikwa nahayo maswahibu ...Ebwana weee Airtel Ni kisanga na nusu .. Unaweza ukapigiwa simu ikawa haipatikani ukitumiwa text hazifiki ...hiyo network ya Data sasa ndio utachoka kabisa .... Mimi niliamua kuikata kata line na kuitupilia mbali 😁Hawa Airtel wabovu sana hata kwenye msg ukituma leo inafika kesho. Hovyo sana!
Kwenye mb nilikoma kabisa yaani, mtandao konokono. Unanunua gb 2 hadi kifurushi kinaisha muda umetumia mb 200
Huduma za AIRTEL ni mbovu kwa ujumla wake. Hata ukipiga simu mara nyingi usikivu ni shida.Kuna wakati hawa jamaa siwaelewi kabisa yaani kwenye hii Airtel Money, ukinunua luku wanakuletea tu kuwa malipo yako yamefanyika bila kuleta balance ya akaunti yako baada ya muamala huo kufanyika. Ukitaka kufanya muamala kama salio halitoshi wanakutumia msg salio halitoshi bila kuonyesha salio lililopo.
Sasa ninataka kuongea na muhudumu kipengele cha kuongea na muhudumu kilichokuwa kinapatikana ndani ya namba 100 mmekiondoa kimya kimya bila kutupa taarifa wala njia mbadala, hata kwenye website yenu hamuonyeshi mabadiriko hayo.
Haya wadau napiga namba ngapi kuongea na muhudumu wa airtel kwa anayejua.
*148*88#Nimeshaenda huko, sehemu ya salio wanakuletea salio na kawaida. Nataka kufahamu bando yangu ya internet imebaki kiasi gani. Sijaona hiyo option
Elfu tisini kwa mwezi take home.Wanakulipa bei gani?