Airtel mwacheni mshikaji apumzike, mnamuibia Ngwea hadi akiwa marehemu?

Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.
 
Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.


alafu kesho awa awa ndio wanaokuja kusponsa maandamano ya kupinga unyonyaji wa wasanii...watu wakisema wanaambiwa ni soko huria,wanaopiga makelele wameishiwa.
 
Nchi ya majambazi hii:-

1.Celtel
2.Zain
3.Airtel
4.
5.

Tunangoja waje na majina mapya
Hawa majambazi yanayobadili majina
kila uchao na Serikali iko kimya tu.
 
mungu asaidie jamani hawa wasanii wetu waungane kutokomeza hawa maharamia.
 
Nchi ya majambazi hii:-

1.Celtel
2.Zain
3.Airtel
4. Orange
5.

Tunangoja waje na majina mapya
Hawa majambazi yanayobadili majina
kila uchao na Serikali iko kimya tu.

Ongezea hiyo mkuu.. Soon watabadilisha¡¡¡
 
haya mapato ya ringtone sijui atapewa nani..
 
alafu kesho awa awa ndio wanaokuja kusponsa maandamano ya kupinga unyonyaji wa wasanii...watu wakisema wanaambiwa ni soko huria,wanaopiga makelele wameishiwa.

Pera Africa ni kampuni za kina rugay,hawatosheki,sasa sijui mkataba wamemsainisha marehemu mochwari???!!!
 
Hata marehemu SHAROBALO walimfanyie hivyo hivyo.
 
Huyo mtu wa marketing awe fired ASAP, eti gharama ya wimbo, mmeupiga nyie?

Kwa mtazamo wangu hii ni aibu kwa kampuni kubwa kama hii, bora hata mngetoa ofa kwa ajili ya kuwafariji wateja wenu ambao ni fans wa ngwair.

Watu wanachanga pesa kuleta mwili wa marehemu wenzetu mnauza ringtones
 
Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.

kweli ina waharibu ki umental duh.
Kumbe ndo maana kina langa tid ray c walikuwa wanaibiwa mpaka wana amua wajidunge tu ilikupunguza ma chungu yakuibiwa dah.
Nakinaruge wao wana chekelea tu dah.
 
Hamna wizi hapo, kwani Ngwair si ana warithi; nyie vipi? Jamaa keshadang'a , hawezi kurudi tena kilichobaki ni kwa sasa ni kazi zake kuingia sokoni kwa nguvu zote ili zimfae mamake (coz' for what i knw hana mtoto). Uzoefu unaonesha kwamba msanii anapofariki dunia, siku za mwanzo kazi zake huwa zinatafutwa sana.....! Kitu pekee muhimu hapo ni kuwapo msimamizi wa hizo kazi and as far as Ngwair ana kaka ake; i hope hakuna tatizo!!

Kama unam-feel Cowbama, download hizo ringtone umsaidie mama ake!
 
Hakuna wizi hapo unless kama hamfahamu biashara za aina hii zinaenda enda vipi!!
 
Kabla hamjapost ishu zenu hakikisheni mmefanya research ya kutosha waungwana. First of all mjue kwamba kampuni haiwezi kukurupuka tu out of nowhere ikatumia nyimbo za mtu bila contract. Nnavyojua mimi Ngwair alikuwa na mkataba na kampuni inaitwa Push mobile kuwa ndio wasambazaji wa hizi ring back tone zake katika mitandao ya simu. Hizi nyimbo zake zilikuwepo katika RBT siku nyingi sana na marehemu alipata fedha zake zinazotokana na mauzo ya hizi Ring back tones. Hapa kilichofanyika ni kama kuwajulisha tena mashabiki wake kuwa ring back tone zake zinapatikana bado katika mitandao, mmoja wapo wa mtandao ni kama huo wa airtel. Sasa unapokurupuka kuita watu wezi/mafisadi uwe una proof ya hiyo kitu. Kilichokuwepo sasa ni kwamba pesa zinazopatikana katika hizi ringback tones zinaenda kwa familia ya marehemu familia yake inaelewa hivyo. Sasa wewe uliyetaka upewe ringtone bure, wewe na hizi kampuni nani mwizi. Wenzako wanakusanya pesa kusaidia familia wewe unataka kazi zake uzipate free, nani ni fisadi na mnyonyaji hapo???
 
Wengine wenu hapa mna nyimbo zote za wasanii wa bongo katika simu zenu na kompyuta zenu na hamkuzilipia hata senti tano. Mmezinyonya mitandaoni ama kwa marafiki zenu. Leo ninyi ndo wa kwanza kunyooshea vidole wengine ambao wanafanya ishu kihalali mkiwaita mafisadi. Hebu jaribuni kuwa na mawazo chanya! Wale wauzaji wa nyimbo waliopo kariakoo na kwingineko wale wanaokaaga na kompyuta zao barabarani wakiwawekea nyimbo za kibongo kwenye simu zenu na kwenye CDs mmeshajiuliza zile pesa wanazipeleka wapi?? Obviously wanajinufaisha wenyewe kwa mgongo wa wasanii wetu. Nani mnyonyaji wa haki za wasanii wetu sasa? PUSH MOBILE wana valid contract na msanii mhusika, hawa wa kariakoo wana contract na wasanii???? Think before you point a finger at someone.
 
Guyz if u know nothing about this u better shut off instead of posting ur stupidity post in here

Watu wanaanza kutafuta justification ya upuuzi wa wasanii kubwia unga kwa kigezo cha kuibiwa na airtel na Ruge
Wezi namba moja wa wasanii ni sisi kwa kujaza pirated copy za nyimbo zao kwenye simu na pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…