Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.
Nchi ya majambazi hii:-
1.Celtel
2.Zain
3.Airtel
4. Orange
5.
Tunangoja waje na majina mapya
Hawa majambazi yanayobadili majina
kila uchao na Serikali iko kimya tu.
alafu kesho awa awa ndio wanaokuja kusponsa maandamano ya kupinga unyonyaji wa wasanii...watu wakisema wanaambiwa ni soko huria,wanaopiga makelele wameishiwa.
1.mobitel
2.buzz
3.tigo
Nawasifu vodacom,
Una uhakika?:disapointed:Hata marehemu SHAROBALO walimfanyie hivyo hivyo.
Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.
Hakuna wizi hapo unless kama hamfahamu biashara za aina hii zinaenda enda vipi!!Huyo mtu wa marketing awe fired ASAP, eti gharama ya wimbo, mmeupiga nyie?
Kwa mtazamo wangu hii ni aibu kwa kampuni kubwa kama hii, bora hata mngetoa ofa kwa ajili ya kuwafariji wateja wenu ambao ni fans wa ngwair.
Watu wanachanga pesa kuleta mwili wa marehemu wenzetu mnauza ringtones