Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao.
Airtel ukiingizia tu pesa kwenye mtandao wao unaanza kupokea simu za matapeli wakitaka kukutapeli wakijifanya wanapiga simu toka airtel. Mtandao wa kipuuzi na una wafanya kazi matapeli sana. Hao nadhani ndo wanatoa taarifa kwa wenzao. Hii ni namba mojawapo ya matapeli +255695992512