Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…!
Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi Hotspot haziwaki.
Naleta dukani mnaniambia zimeisha. Kifurushi changu kinazidi kwenda tu siku ya nne leo na sioni dalili ya kusolviwa hii ishu.
Mnapoteza wateja kizembe sana nyie majamaa. Wafanyakazi wa Airtel customer service na mnaowakewa madukani kwenu wanachojua ni kusajili laini tu.