KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…!

Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi Hotspot haziwaki.

Naleta dukani mnaniambia zimeisha. Kifurushi changu kinazidi kwenda tu siku ya nne leo na sioni dalili ya kusolviwa hii ishu.

Mnapoteza wateja kizembe sana nyie majamaa. Wafanyakazi wa Airtel customer service na mnaowakewa madukani kwenu wanachojua ni kusajili laini tu.
Ukifika pale customer care pandisha base aka sauti ukiona anajinyonga nyongakuwa mkali watakuhudumia tu wana tabia ya kusingizia mtandao sasa mtandao si ndo nimekuja kutatuliwa Hilo tatizo wao uwa wanafikiri Kila anaeingia ni zoba kumbe
 
Ni kweli sasa hivi zipo za ODU tu....zile zenye Unit yenye Antenna Nje na Router ndani...hizi zimekua Adimu ila nimeona watu walioshindwa kuendelea kuzuitumia FB Marketplace zinauzwa mpaka 30k... personally natumia hii ya ODU na sijawahi kupata changamoto yoyote ambayo nikizima router na kuwasha haitatuki...mimi matumizi yangu kwa mwezi avg ni GB 600 kwa mwezi..
Mimi mwenyewe natumia ya ODU nilimunua wmaka jana mwezi wa 3 mpaka sasa sina malalmiko japo kuna muda hasa usiku speed inapungua. Yani imenisave maan nilipo haina fiber na sijawahi kukosa kuilipia
 
Hivi Router Airtel ya ODU ikizingua nikanunua nyingine, Airtel watanidai router yao?
Hapana, hawana muda huo mkuu wa kufatilia hayo wakati wana mambo mengine ya msingi zaidi ya kufanya ili kukuza kampuni yao na izidi kua bora waache kutukanwa kila siku kuliko kuhangaika na router 1 mtaani huko mbovu 😂

We nunua ingine kama unaweza, endapo uliyo nayo ikifa au kuungua...
 
Poa aisee...... maana kiliungua halafu wanadengua kuja...
 
Back
Top Bottom