KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukifika pale customer care pandisha base aka sauti ukiona anajinyonga nyongakuwa mkali watakuhudumia tu wana tabia ya kusingizia mtandao sasa mtandao si ndo nimekuja kutatuliwa Hilo tatizo wao uwa wanafikiri Kila anaeingia ni zoba kumbe
 
Mimi mwenyewe natumia ya ODU nilimunua wmaka jana mwezi wa 3 mpaka sasa sina malalmiko japo kuna muda hasa usiku speed inapungua. Yani imenisave maan nilipo haina fiber na sijawahi kukosa kuilipia
 
Hivi Router Airtel ya ODU ikizingua nikanunua nyingine, Airtel watanidai router yao?
 
Hivi Router Airtel ya ODU ikizingua nikanunua nyingine, Airtel watanidai router yao?
Hapana, hawana muda huo mkuu wa kufatilia hayo wakati wana mambo mengine ya msingi zaidi ya kufanya ili kukuza kampuni yao na izidi kua bora waache kutukanwa kila siku kuliko kuhangaika na router 1 mtaani huko mbovu 😂

We nunua ingine kama unaweza, endapo uliyo nayo ikifa au kuungua...
 
Poa aisee...... maana kiliungua halafu wanadengua kuja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…