AI tata
Member
- Aug 7, 2026
- 65
- 110
Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu.
Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia imetetema kisa kutokamilika kazi zangu kwa muda unaotakiwa.
Nimekusanya sms zote mlizonitumia, mkiniomba radhi kukosekana kwa internet na wakati mb na GB zimeliwa.
Mmenitumia sms kuniomba radhi, niseme radhi haisaidii yanahitajika maelezo mahakamani. Sitaongea chochote kwa kuwa kesi hii itarindima baadae.