Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Bado unatumia Vpn mkuuView attachment 1838776Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.
Ndiyo mkuuBado unatumia Vpn mkuu
Yaani wanakera balaaKweli hii kero mimi pia hutumiwa hizo message
Nimewapigia zaidi ya mara tatu, majibu ni kuwa system yao ndiyo imepangiliwa hivyo. Kwa hiyo ili kutoa hiyo kero lazima waingie kwenye system yao na kuondoa mpangilio huoPiga namba 100 uwaombe wakuondolee au kama vipi unaingia kwenye seting za sms una mute sms zote za kibwege nazi.
Nimewapigia zaidi ya mara tatu, majibu ni kuwa system yao ndiyo imepangiliwa hivyo. Kwa hiyo ili kutoa hiyo kero lazima waingie kwenye system yao na kuondoa mpangilioPiga namba 100 uwaombe wakuondolee au kama vipi unaingia kwenye seting za sms una mute sms zote za kibwege nazi.
Kweli kabisa mkuu. Yaani lugha yenyewe wanakosea kabisa. Umakini sifuri kabisa hawa jamaaWTH's warries?
Ni aibu kwa company kubwa kuonyesha makosa madogo kama hayo, clearly inaonyesha udhaifu wa company kwenye maswala ya umakini.
Mimi Line ya Airtel nilishaitupa mda sanaa, wanasumbua unaweka vocha ya wiki, unatumia siku mbili tu, mda mwingine inakua hapo hewani, yani Airtel ni hovyo kupita maelezoView attachment 1838776
Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.
Hapo sawa. Ila ujumbe huo unakera sana. Kila unapo mpigia mtu, lazima watume jumbe hizo na ukikata simu lazima watume jumbe hizo. Mpaka inakuwa kero kufuta jumbe zao kila muda. Kuna wakati inaingia meseji, unakimbilia kufungua ukidhani ni meseji muhimu, unakuta meseji ya mtandao. Inakera sanaKuna simu automatically zinazuia meseji zinaitwa cell something jina limenitoka zingine hazina hiyo feature so kuna watu huo ujumbe hawapati. Mimi ndiyo kwanza nauona leo
Yeah na Vodacom nao wanatuma meseji zao nyingi pindi salio lako likiisha. Wanadhani wakituma meseji moja kwamba salio lako limeisha hutaelewa au vipi. Wanakera nao.Sawa na vodacom kww kwa masg yao ya umeishiwa na sijui nini?