Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
nimekwisha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama naanza kunusa harufu ya ukweli wa habari hii, maana nimeangalia salio langu sasa hivi hata ile style yao ya kuone salio wamebadilisha. ona inavyoandika.Duh! Mi natumia airtel kwa ajili ya ucheap ingawa wakati mwingine iko slow! Hapa itabidi nianze kutafuta uelekeo mwingine
Sasatel nao wamesitisha modem za simu ya mezani na modem zinazotumia line za sim card. Tutaumia wengi!
Wakuu jana mida ya saa tatu usiku nilikuwa na salio la mb20 katika bundle yangu ya mb400 nikawa nadowaload kitu cha mb 300 lakini chaajabu nikadownload hadi mwisho, ni nilipo jaribu kuangalia salio nikapata ujembe usemao "Samahani,huduma haipatikani kwa sasa kwa sababu tunaboresha mitambo yetu.Samahani kwa usumbufu uliojitokeza.Asante".
Nikazima pc na baadae kama saa 7 hivi nikawasha ili nitumie zile mb200 za ofa ya usiku ikakataa kuconnect yaani haina salio
Leo asubuhi najaribu ku activate kifurushi cha mb400 kwa kutuma neno INTERNET kwenda 15444 lakini napokea ujumbe ufuatao " Neno ulilotuma sio sahihi, Tafadhali chagua kati ya :- 10MB,25MB,50MB,150MB,250MB,500MB,1GB,2GB,5GB,15GB,30GB,SIKU,WIKI,MWEZI ama SALIO kwenda 15444.Asante.
Nimechek na website yao bado wanamaelezo ya bundle za zamani
Inakuwaje hapa wadau
Poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!
wamebadili jinsi ya kuangalia salio au kununua kwa kutumia hii njia *154*44# ndio utafanikiwa mi mwenye leo imenisumbua mpaka ikakubali kwenye saa 2 asubuhi..