Let say umekusanya kwenye lipa mil 4,unaigawa kwenye line za lipa 5 kila line laki 8,ukitoa unalipwa 2119 comm, 2119*5=10595 comm,lakin ukitoa mil 4 Kwa wakati mmoja unalipwa 2119 comm tu,hii ndo maana ya kugawa miamala ninavyoelewa mm na Huwa nafanya,sasa Kwa risk taker na wapambanaji Kuna njia nyingine ya kufanya miamala ukajitengenea kipato Cha kutosha pasipo kutegemea commission na lipa Kwa simu,ila siiweki wazi hapa ukihitaji utanichek privately.Mkisema kugawa miamala mnaanisha nini