Hoppity Cywale
Senior Member
- Aug 20, 2013
- 126
- 29
kipi cha kushangaza ssa,,mbona multiple selectio zpo sana 2,,ni kwa sababu ya kutojipanga kwa Tcu,,,,mbna wa2 kbao 2 mwaka jana 2mepata multiple selection,,tena kuna majamaa zangu wawl walpangiwa vyuo vi3,,Udsm,Udom na Suakwa wale 2lojichek through airtel about selection za tcu ni uongo maana most of us 2liona 2mechaguliwa katika 1st choice zetu, tatizo ni kwamba kuna mshikaj kachaguliwa DUCE(airtel) vilevile jina lake lipo university of arusha so which z which..??msaada wenu wakuu
hayo matokeo yanapatikana vp kupitia airtel? Naomba msaada
Jaman mi hadi leo sijaelewa kama vyuo nilivyochagua vimetoa majina au laa!
Nilichagua hiv
1. UDOM
2. MWUCE
3. SMMCO
4. TEKU
Kati ya hivyo kipo kilichotoa? Kama kipo nayapataje majina yaliyotolewa waungwana?