AirtTel wanaibia wateja au ndio haki yao kisheria..???

AirtTel wanaibia wateja au ndio haki yao kisheria..???

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,446
Reaction score
988
Nimeshangazwa kidogo na huduma za mtandao wa Aitel nimekuwa nautumia kwa kitambo kidogo hatimae nikaibiwa simu nikabaki na laini yangu niliosajiri kihalali ikiwa pamoja nakuitumia kwa Aitel money sasa tangu niibiwe inafikia miezi miwili sijapata simu tatizo limekuja baada ya kununua simu na kuweka laini yangu ili nitumie nakutana na ujumbe kwamba laini yangu imezui kupiga simu, nikashauriwa nipige namba 100 kwa maelezo simu ndo haitoki, nikaenda quarity center kuona kama kuna huduma kwa mteja lakini nikajibiwa kuwa laini yangu kama sijatumia zaidi ya miezi miwili inarudishwa dukani na kuuzwa tena kumbuka pia kuwa niliweka salio na likaingia sasa wanazuiaje laini nilonunua kwa pesa yangu na kuisajiri kama halali yangu? je hawa ile sheria ya tra inayozuia kumuwekea mteja masharti haiwahusu?? na kama laini yangu ina aitel money nazo wanapeleka wapi wakati wanaiuza laini yangu?? anaejua kuhusu haya tujuzane...
 
Mkuu,lengo la kampuni ni kupata kipato,sasa kama kadi inakaa muda huo waliokwambia bila kutumia wanai-recycle na kumpatia mteja mwingine ili kuendeleza biashara.Kama ulikuwa na salio Airtel Money fika ofisini kwao..utapewa fomu ujaze na watu wa Finance watakurudishia salio lako.
 
Na hizi SMS zenu za Mara kwa Mara ni usumbufu sana!,
 
Back
Top Bottom