Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,466
Reaction score
4,916
Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo.
Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti.

Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu aloo daaa!
 
Nadhani ulinzi ulikua mkubwa sana leo dodoma maana wakuu wa ulinzi wote ndani. Ila ni sawa maana ni bajeti ya muhimu
 
Nadhani ulinzi ulikua mkubwa sana leo dodoma maana wakuu wa ulinzi wote ndani. Ila ni sawa maana ni bajeti ya muhimu
Kuna ndugu yako hata mmoja mkuu alikuwemo humo ndani?
 
Acha roho za umasikini fanya kazi kijana.
Mwanangu Mimi siyo maskini ndiyo maana kati ya hao wanaokula keki kuna ndugu yangu.
Nadhani wewe ambaye huna ndugu hata mmoja kati ya watu wote ho ndo maskini. Nakuonea huruma ujue. Yaani wewe Kodi yako inatafunwa na huna ndugu angalau hata wa mbalimbali mbali miongoni mwa wanaofaidi Kodi yako daaa. Unasikitisha mkuu
 
Back
Top Bottom